MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Bongo ndio maana anaweza simana Waziri na kusema Raia ndio walitaka Tozo na raia kweli wamepiga kimya, maelezo ya Mwigiru kwamba ni rao ndio wametaka tozo yangetoleaa hapo Kenya kwa sasa kusingekuwa kuna kalila. Hii nchi niseme tulirogwa na raia tu mazezeta kupindukia, uzezeta wetu hauna mshindani duniani.
Ndiyo maana wanasimama wakina Nape wanatoa kebehi na maisha yanaendelea kama hakuna kitu, anasimama Waziri anatoa kebehi kwa raia na maisha yanaendelea.
Mwiguru jana ni kama kebehi kwamba raia ndio walitaka tozo na kweli imepota hio make raia wako kimya maana yake ni kweli.