The night of scary: chapter 3

Hamad yusuph

Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
45
Reaction score
33
Pengine atakua kaambiwa na majirani wa kijiji hichi.. akijisema maneno hayo justin

Orenda,”sawa kijana wangu ukiwa na uhitaji wowote usi sisite kuniambia

Justin.
Sawa mzee wangu una una itwa nani vile jina lako samahani lakini

Orenda
“ORENDA BENANDRI COSMAS”,usijali namba yangu hiyo ukiwa na uhitaji wa neno la mung nipigie kijana

Baada ya mazungumzo kuishaa justin alienda kwa mzee soni maana hapo ndo anapo ishi kwasasa kutokana na ajiri ya moto kwa kuunga nyumba yake

(Justin).Eeehe.! mzee wangu soni,bila shida
Justin).nimektana na mzee flani hivi kule church bondeni ni ni sura ngeni kwangu ata kwako pia kama ukiomuona.

(Mz soni).Hahahah we kijana we sura ngeni inamaanisha uyo mtu ni mpya katka kijiji chetu hiki.
Ndio..! Jina lake alisema anaitwa orenda
(Mzee soni).umesema anaitwa ONENDA
JUSTIN)hapan mzee ni orenda.baada ya mzee kuambiwa vile akishituka kwa uwoga sana.

Mpka kuperekea kuangusha kikombe cha pambo kilicho jaa maji yaliyotoka kweny mtungi

(Justin).mzee wangu umepatwa na nin,hapana hakuna kitu.
Mzee soni akisema neno hakuna kitu huku akifikiria jinsia ya uyo mtu aliekutana na justin

ILIPOFIKA:usiku
Justin akiweweseka sana kwa ndoto zinazo msumbua kichwani mwake akizinduka justin

Kupapasa macho kutazama kam kuna mtu yeyote au mawenge ya ndoto tu.

Aliamka justin akaketi kitako kuitathimini ndoto ya ajabu aliyoiota

(justin).Haaaaaa! Haiwez kani hili jambo lazima nikamshirikishe mzee soni

Justin kuamka kitandani kufungua mlango maana nihatua chache kufika mlangoni kwa mzee soni.

Kabla kufika kwa mzee soni justin alisikia sauti za watu wengi ndani humo kwa mzee soni

Ufungu wa mlango ukitoka moshi mwemba mwemba hivi

Justin alijiuliza kuani watu hawa mpka sasa hivi wanafanya nin eeehee.
Nikipi kinachoendelea.? Na sijahusishwa ngoja nikasilize vizuri justin kupiga hatua kwa kishindo gafla sauti ili kata humo ndani kwa mzee soni kimya.

Alirudi chumbani mwake haraka haraka akajifunika shuka.mdaa so mwing kupita

Alihisi mlango umefunguliwa na mtu kwa kumchungulia

Hivi ni kweli kua mzee soni ni mshirika wa wachawi haaa!mi siamini kwa hilo

Kesho asubuhi na mapema justin kujianda kwenda shambani kulima pia kuchkua kinacho faa kwa kula kwa siku hiyo.

Samahani…!justin

Justin kugeuka kusikia sauti hile nani anamuita
(justin).bila shaka,unanikumbuka justin
Tulisoma shule pamoja mi na wewe mi naitwa “BATULY”
Justin.waooow batuly ndio nakumbuka sasa asa hivi ushakua mkubwa kwel sura ilinipotea kidogo

(Batuly).kwanza pole na msiba maan maindra alikua ni rafik yangu sana

Asante sana batuly pia asa hivi nahisi mke wangu atakua yupo kwa mungu wa nena jambo jema

Gafla simu ya justin alipigwa kwa namb ngeni.alikata mara ya kwanza maana ilikua ni namba mpya katika simu yake

Mara ya pili ilipgwa tena akapokea
Halloh…..!
Hallo kijana wangu justin mi orenda
Orenda…?justin alijiuliza kwel kuhusu namb yake ameipataje maana ye ile siku hakumpa namb yake

Lakini yeye ndo aliechkua na ya mzee orenda

Nini kitaendlea kwa justin na orenda je mzee soni ni mchawi au….🤷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…