The Night of Scary: Story chapter two

The Night of Scary: Story chapter two

Hamad yusuph

Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
45
Reaction score
33
Tulipoishia ni pale mzee soni kuona moto ukipamba sana katika nyumba ya justin
(Raia)..saidia jman mwanga maji,”lete maji”mungu jamn maindra

Justin alishangwaza sana na moto hule umetokea wapi…?,machozi mengi sana yalimtoka justin

Justin) haiwezikani lazima nikamtoe mke wangu maindra.
Justin akiwa anapga hatua kwenda kwa nyumba yake angali moto mkali ukiwa unazidi raia walimzuia justin.

(Mzee soni).kijan tunajua kama ulimpenda maindra lakini mungu ampenda zaidi kamchkua mwanae vumilia tuu

(Justin).yaan mzee asa hivi tu…! Mbona kaondoka mapema hiv mke wangu na na naa kaondoka na mwanangu.
Justin alilia sana hadi fahamu zikampotea yaan kuzimia kibanda chote kimeisha kwa moto hule

Ama kwel furaha ikipotea huzuni utawala justin kuzinduka asabuhi na mapema sura ya kwanza kuiona mzee soni..!
Mwanangu unaendeleaje…!
Safi mzee wangu
Unatakiwa ukubaliane na hali harisi ujue si sote watu wa mungu.akitu hitaji mda wote atatuchukua.
Mwanangu vumulia we mwanaume sawa baba.
(Justin).sawa baba nitajitahidi kuyashinda yote haya yaliyotokea

Wiki tatu kupita baada ya mazishi ya mke wa justin,justin aliendelea na maisha yake pia ye ni takatifu sana maan ye ni mtu wa neno la mungu

Siku moja justin baada misa ya pili ikiwa jumapili justin alikutana na mzee mmoja anaitwa(ORENDA)

(ORENDA).kijana wangu unaendeleaje…?

(Justin)alishangaa sana kwanini umeniuliza hivo akati hujui maswahibu mangapi niliyopitia
 
Back
Top Bottom