Hamad yusuph
Member
- Mar 21, 2024
- 45
- 33
Night of scary: USIKU WA KUTISHA hi stoly nimetunga kwa umalidadi na ufasaha kabisa ni uzuni kidogo
Ukuapo maijila ya saa 7 usiku mkoa shinyanga kijijin cha tambukareli kulikua na familia moja ya mzee justin
Uyo mzee justin hakuamin miung ya ushirikina mahal apo pia kukemea uchief tawala katik kijij cha tambukareli kilicho arusha mzee uyo alkua na mke wake maindra akiwa mjamzto wa miez 6
Usiku huo ilkua ucku wa pepo yaani mahali pa tulivu maan hakuna sauti yoyote husikikapo zaidi ya upepo pamoja na majin na matawi ya minaz ikifoka tuu.
(maindra).mu! Mume wang justin amka.
Ikisikika sauti ya chini kama mtu mwenye kuumwa kuitaj msaada
Justin aliskia saut ya mkewe maindra kuinuka harak sana kutafuta mshumaa ili kuwasha kujua kitu gani kinachoendelea.
(justin).mke wang maindra umeptwa na nini..?
(Maindra).nahis kam mtoto antka kutoka ya.yaan na uu uumia mume wang
(Justin).maindra vumlian ngoja nkaombee baiskel kw mzee soni hapo nyumbn ya tatu ni ni vumlie tu.
Justin akatoka haraka kwend kuomba chomb cha usafir ili kuwaisha kw matibabu kw mke wake
(justin).hoodi…! Wenyew..! Mzee soni….!
(Mzee soni).kuna njee masaa haya na unataka wew kijana
(Justin).babu samahn naomb baiskel.yako mzee wangu nakuomb sana
(mzee soni).khraaaaa..!kijana ngoja pakuchek
(Justin).mze okoa maisha ya mkewang pamoja na mwanag.
Baada mzee soni kuambiwa maneno hayo aliingiwa na roho ya huruma kumptia baiskel pia na yey kwenda kutoa msaad utakao huitajika..
Walipokua njian kwend nyumbani kwa justin pamoja na mzee soni,justin aliona moshi mkubwa sana maeneo so mbali na kwake.
Kuklbia kufika na nyumbn kuona nyumba yake inaungua kwa moto mkubwa sana..
Moto ule pamba kote nahis hakuna atkae kua mzim
Maneno ayo akiongea mzee soni je nin kimetokea kwa maindra……fuatlia epsde ya pili THE NIGHT OF SCARY