The non-citizens (employment regulation) act, 2014

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
5,940
Reaction score
3,047
Tunahitaji uwazi kwa spedi ya supersonic. Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge idara ya IT-acheni kuhujumu Nchi. Taarifa na Doc muhimu kama hizi zinapokuwa haifunguki au hakuna kabisa ni kulihujumu Nchi.




[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD] Bill no:
[/TD]
[TD="width: 459"] 2-2014-2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 165"] Introduction date:
[/TD]
[TD="width: 459"] 31 October 2014
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 165"] Bill stage :

[/TD]
[TD="width: 459"] First Reading

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 165"]
[/TD]
[TD] 31 October 2014
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] This Act may be cited as the Non-Citizens (Employment Regulation) Act, 2014 and shall come into operation on such date as the Minister may, by notice in the Gazette, appoint.
More details

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Ukiacha hilo mara nyingi Bill/Miswada inakuwa haipo kwenye web site ya Bunge .
 
Wana JF mwenye hii kitu arushie humu!

[



 
Ndani ya mswada huu naona haya maeneo hayajibu hoja na madai ya muda mrefu ya wadau wa ajira kuwa kuna waajiri wanaajiri wageni hata kwa kazi ambayo wabongo wanazimudu.





Kuna haja ya kufanya maboresho kwenye huu mswada na kwa minajili ya kuwa na uwazi na kuondoa mianya ya rushwa lazima Sheria iweke miongozo inayoeleweka wakati mamlaka husika inapofikia maamuzi isijefanya maamuzi kama mpiga ramli.

Sheria inafaa ilekeze ;

(2) The Labour Commissioner shall, before approving an application for a work permit, satisfy himself that all possible efforts have been explored to obtain a local expert by consulting in writing TAESA and other register local Labour Agency’s .


Lingine Ambalo linafaa kuboreshwa na Wizara husika ,kwenye eneo hili nikuongeza Fani ya Mfanyakazi anayeombewa. na kuingizwa kwenye Swada huu kabla haijawa Sheria.

Mfano. SN EP No Professional Employer.

Kuna siri gani hapa ,ya kuficha kiwango na aina ya Utaalamu wa hawa Wageni.


WORK PERMIT LIST DISPATCHED TO IMMIGRATION DEPERTMENT
ON 5TH FEBRUARY, 2015


SN EP NO EMPLOYER


 
Jamani hawa expert/makampuni hiZi Sheri's wanazijua sana sana ila WANATOA RUSHWA sana sana,Sheria zipo na ni nzuri but hawafuati,pitia makampuni Kama Migodini,bia,Cement,simu! Kinatakiwa CHOMBO cha kufuatilia ajira zao wasitishiwe Mara Moja wale ambao nafasi zao wazawa wanaweza kufit!hawa wageni ni wababe sana nahofu utekelezaji unaweza Kuwa mgumu kwa kisingizio cha hawa wageni ETI mpaka wamalize kimara a Yao!
 
I hope non citizens by definition inainclude Kenyans, Ugandans na other EAC members!
 
Eti mpaka wamalize mikataba Yao!kuwe na chombo kinafuatilia huko migodini,viwandani walipo wameziba ajira nyingi sana za wazawa wenye uwezo!mbona Kenya ,Nigeria,benini na Togo hawafanyi hivyo!wanakimbilia Tz coz wanajua Sheria zipo but hakuna wakuzifuatilia!watu waende huko walipo wao nane na Hr au vya na Vya wafanyakazi ili kuharakisha hii kitu!waende field,ki under chombo!
 

Mkuu ndiyo maana unaona sheria inaacha mianya mingi kwa mtendaji mmoja.

(2) The Labour Commissioner shall, before approving an application for a work permit, satisfy himself that all possible efforts have been explored to obtain a local expert.




Ebu angalia sentensi hiyo kweli inamtaka LC kufanya hivyo swali linakuja kutoka vyanzo vipi?


Mimi na dhani ni wakati sasa hata vyama hivi vya Wafanyakazi wanatakiwa kushirikishwa kwenye hatua za awali na kuwe na Kifungua cha Sheria inayomtaka Mwajiri kabla hajaomba Kibali toka Uhamiajiri kupitia Labour Commissioner lazima awaarifu Chama cha Wafanyakazi kuhusiana na hatua hiyo ili kama kuna objection waweze kuiwasilisha kwa Labour Commissioner.

Hawa vyama vya Wafanyakazi ni Walinzi wa chini Kabisa wa Ajira za Watanzania- kwa hiyo wakati Mswada huu unajadiliwa ni vizuri Wabunge wakawekeza ujuzi na hoja ya kulinda ajira za Watanzania.

Mfano mmoja Ujenzi wa huu mradi wa nyumba kuishi za Dege kule Kigamboni Dsm .unakuta wageni kibao kuliko maelezo kana kwamba Tz hakuna wajenzi -huku pesa zinazotumika kwenye miradi hii kwa kiasi fulani ni za Watanzania(NSSF)


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…