The Official Azam FC Thread

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,767
Reaction score
6,575
years of existence, Azam FC has become an envy of other Tanzania Mainland Premier League clubs.
And born in 2007 also join VPL(Vodacom Premier League) Tanzania Mainland Premier League in season of 2008/09.

CECAFA KAGAME CUP
2012 Second Runner
2015 Winner

VODACOM PREMIER LEAGUE
2008/09 position number 8
2009/10 position number 3
2010/11 position number 3
2011/12 position number 2
2012/13 position number 2
2013/14 Winner!!

U20 PREMIER CLUBS (Uhai cup)
2008/09 winner
2009/10 winner
2010/11 knock out stage
2011/12 Second runner
2012/13 winner
2013/14 knock out stage

MAPINDUZI CUP
2011 knock out stage
2012 winner!!
2013 semi final
2014 quarter final

URAFIKI CUP
2012 Second Runner (penati)

AZAM ACADEMY
2011 Finalist of Rollingstone tournament

CHARITY CUP Congo DRC
2012 winner!!
 
msimu huu yaanza kwa kuchapa Moro United bao 1 na mfungaji akiwa ni John Bocco. mechi hii ilichezewa kwenye uwanja wa Azam Stadium

 
leo ni kati ya Azam FC na Africans Lyon FC
 
ni kipindi cha pili bado bila bila si azam wala afrikan lyon..
 
duu na uwanja wetu tumefungwa moja na lyon kweli kazi tunayo itabidi tujipange ili tuweze kuwa kwenye position nzuri..

final score Azam FC 0 - 1 Africans Lyon
 
Ligi ya mwaka huu nigumu sana kila timu inakikosi imara sina uhakika sana na polisi Tanzania....
 
ni baada ya dogo sure boy kula red ndio ilitugharimu yaani azam ikiwa kama arsenal duu inauma sana "Kutolewa kwa kadi nyekundu mchezaji Salum Aboubakar 'Sure Boy' wa Azam FC kumepelekea timu hiyo kupoteza mchezo wake wa ligi kuu kwa kufungwa 1-0 na African Lyon, katika mchezo uliochezwa leo jioni uwanja wa Azam jijini Dar es Salaam"

 

ndio zetu wazee alamba alamba.. na hili ni benchi la ufundi likiwa mazoezini
 
Chamazi kuna nini? Mbona timu yetu haifanyi vizuri? Jana imetunguliwa bao moja kwa bila na Coastal Union ya Tanga
 
Chamazi kuna nini? Mbona timu yetu haifanyi vizuri? Jana imetunguliwa bao moja kwa bila na Coastal Union ya Tanga
<br />
<br />
hiyo ilikuwa ni mechi gani mbona siifahamu..
 
[h=1]Azam FC safarini Arusha, Mechi na JKT Oljoro yasogezwa mbele[/h]





Kikosi cha wachezaji 20 wa Azam FC kiko njiani kikielekea mkoani Arusha kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa tatu wa ligi kuu ya Vodacom VPL dhidi ya timu y JKT Oljoro.
Azam FC ilikuwa wacheze mchezo huo siku ya Jumatano ya wiki hii katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid uliopo Arusha. Lakini taarifa za uhakika toka TFF zinasema kuwa mchezo huo umeseogezwa mbele hadi Alhamisi.
Kocha mkuu wa Azam FC, Stewart Hall amesema matayarisho kwa ajili ya mchezo huo yamekamilika kinachosubiliwa ni mechi yenyewe.
Amesema kutokana na mechi hio kuchezwa katika uwanja wa nyasi za kawaida, timu ilifanya mazoezi ya siku tatu katika kiwanja cha nyasi za kawaida kilichopo Kawe, ili kujiweka sawa na mchezo huo.
"niliwabadilishia uwanja ili wapate mazoezi yatakayowasaidia kucheza katika viwanja vya kawaida, wameonyesha kumiliki mazoezi hivyo napata uhakika wa kufanya vizuri katika mchezo huo." Alisema Stewart.
Ameongeza kuwa timu itasafiri na wachezaji 20, kwa kuwa Abdulhalim Humud alipata majeraha, Salum Aboubakar &#8216;Sure Boy' anatumikia adhabu ya kadi nyekundu na Himid Mao anajiandaa na mitihani ya kumaliza kidato cha nne.
Wachezaji watakao kuwepo katika msafara huo ni Obren Curcovic, Mwadin Ally, Malika Ndeule, Wazir Salum, Ibrahim Shikanda, Ibrahim Mwaipopo, Aggrey Moris, Jabir Aziz, Zahor Pazi, John Bocco, Nafiu Awudu, Wahab Yahya, Mrisho Ngassa, , Luckson Kakolaki, Ramadhan Chombo, Said Morad, Kipre Tchetche, Khamis Mcha na Erasto Nyoni.
Katika msafara huo kocha ataongozana na wasaidizi wake, Kali Ongala na Idd Aboubakar. Pia katika safari hiyo yumo Meneja msaidizi Khamis Jaffar, Dr Twalib Mbaraka, na Jaffar Iddi Maganga
Azam FC wamecheza michezo miwili, wamepoteza mchezo mmoja kwa Africa Lyon na kushinda mchezo dhidi ya Moro United, imefikisha pointi tatu.

source: azamfc.co.tz/news
 
KIKOSI KAZI CHA LEO

Timu inatarajiwa kuwakilishwa na

Obren,
Erasto Waziri Moradi
Aggrey Mwaipopo
Ngasa Jabir Bocco Kipre
Chombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…