The Official Azam FC Thread

Game ijayo ya kuitoa yanga kwenye kinyanganyiro cha nafasi ya 2
21/04/12
VPL; AZAM FC Vs MTIBWA SUGAR, U/azam
 
ni kanuni ipi imetumika kuinusuru mtibwa wasishushe daraja, Je mtibwa walivunja je pambano
 
ni kanuni ipi imetumika kuinusuru mtibwa wasishushe daraja, Je mtibwa walivunja je pambano

[h=3]TFF yaipa ushindi Azam dhidi ya Mtibwa[/h]




















Kamati ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemuondoa mwamuzi Rashid Msangi wa Dodoma kwenye orodha ya waamuzi kwa kuvuruga mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Azam na Mtibwa Sugar iliyochezwa Aprili 23 mwaka huu.

Pia waliokuwa waamuzi wasaidizi wa mechi hiyo; Samuel Mpenzu na Abdallah Uhako wote kutoka Arusha nao wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Vodacom.

Vilevile Kamati imeipa Azam ushindi wa mabao 3-0 kwa mujibu wa Ibara ya 31 ya Kanuni za Nidhamu za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Kwa mujibu wa kanuni hiyo, timu itakayohesabika kupoteza mechi (Mtibwa Sugar) itakuwa imefungwa mabao 3-0.

Kwa mujibu wa Kanuni ya Ligi Kuu ya Vodacom kifungu cha 22(3-6) Mtibwa Sugar imepigwa faini ya sh. 500,000, imepoteza mapato yote ya mchezo huo na inatakiwa kulipa faini hiyo kabla ya mechi inayofuata.
 
mm ndo réfa atakaechezesha mechi Ya azam na toto tutaftane jamani,sina hela ya kula
 
mm ndo réfa atakaechezesha mechi Ya azam na toto tutaftane jamani,sina hela ya kula

toto wao wanataka droo tu azam inataka ushindi na chengine mkuu yahoo mpira sio kuhonga marefa kama ni kuhonga marefa na nyie kahongeni tuone..
 
Last edited by a moderator:
Leo Mchezoni (Marudio ya mechi)
Game: Azam FC v Mtibwa Sukari
Time: 16:00 PM
Venue: Taifa
Referee: Unknown

Viva la Azam FC leo ushindi ni muhimu kwetu..
 

Well done Azam, ingawa hawajapata ubingwa. Ni mwendelezo mzuri...
 
Mwaka ujao mjipange upya kisoka si kuwanunua marefa na TFF. Sawa madogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…