The Official Azam FC Thread

Azam FC 2-1 Kagera,, magoli ya Azam FC yamefungwa na Michael Bolou Kipre dk 28 na Bocco dk 85 na Bocco kawa mfungaji bora..
 
[h=3]Odhiambo atua Azam[/h]


Tanzanian side Azam FC has signed George "Blackberry" Odhiambo on a two year contract. The former Randers striker was expected to put pen to paper on Saturday afternoon.

Odhiambo left the Danish club after his contract was mutually terminated in April. He has attracted several clubs like former side Gor Mahia.

The club's media officer Patrick Kahemele confirmed of the development. "I can confirm that we have signed Blackberry. He has been with the team and he will sign the contract this afternoon."

With the forward joining the club, he will play alongside Ibrahim Shikanda who is the only Kenyan featuring in the Vodacom Premier League.

The Vodacom Premier League ends on Sunday and the second placed side will face Kagera Sugar while Simba who have been crowned champions will face Yanga.

Azam are set to play in the upcoming Kagame Cup that will take place in Dar es Salaam in which the Kenya international will be out to regain the form that saw him named the 2010 KPL Player of the Year.

The last time Odhiambo played for Harambee Stars was against Angola where the hosts won 2-1 at Nyayo Stadium in the African Cup of Nations qualifiers.



Source: SUPESPORT FOOTBALL | KENYA
 
RIP P Mafisango Azam FC former player..
 
Habari zenu WanaJF Sports
Kesho chama letu Azam FC watakuwa TFF wakifanya Press Conference so stay tune!

Wazee wa lambalamba For life..
 
huu ndio uzi utakao valiwa na azam fc msimu ujao wa 2012/13 kama away kit..

 
na hii pia itakuwepo kama rangi nyingine ya uzi wa chama letu


Sent from my Window Mobile
 
Azam FC washaanza mazoezi kwa ajili ya CECAFA leo jumatatu..

Source: azam fc jikon
 
Naona umeamua kutangaza website ya Azam FC kwanini usituwekee hapa hiyo habari maana siku hizi naona link tu....Umesikia kikosi cha mnyama

unajua nini na tumia kisimu cha mchina ndio maana mkuu Crashwise
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mkuu....Vipi mwaka huu mmejiandaa kuwa wangapi kwenye lingi maana Yanga ana hasira sana na nyie najua sisi hatuwezi...

umeona enhee na bado ana hasira na zile tano..
 

Mzee Said wa Azam FC akipokea hundi ya Azam FC kutoka kwa mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu Fredirick Sumaye. (picha ya fullshangwe blog)





[h=3]Azam FC timu yenye nidhamu[/h]
Mabingwa wa Mapinduzi Azam FC wametwaa tuzo ya timu yenye nidhamu bora katika msimu wa 2011/12 wa ligi kuu ya

vodacom, huku tuza za mchezaji bora, kocha bora na mfungaji bora zikitoa Azam FC.

Katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo uliofanyika katika hoteli ya Double Tree By Hilton, huku mgeni rasmi akiwa Waziri Mkuu mstaafu Fredirick Sumaye, tuzo ya kipa bora alichukua Juma Kaseja toka Simba SC.

Frank Domayo aliyejiunga yanga akitokea JKT Ruvu, Rashid Mandawa wa Coastal Union na Hasan Dilungwa wa Ruvu Shooting, walitwaa tuzo mpya ya mchezaji toka kikosi B aliyepandishwa kwenda kikosi A na kufanya vyema. Tuzo hiyo ilitambulishwa na katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah.

Nahodha wa Azam FC na mchezaji muhamasishaji Aggrey Morice alibeba tuzo za mchezaji bora wa msimu huo wa ligi kuu, huku kocha wake Stewart Hall akichukua tuzo ya kocha bora wa msimu.

Kinara wa mabao wa Azam FC John Raphael Bocco 'Adebayor' alijiondokea na tuzo ya mfungaji bora wa msimu wa 2011/12 wa ligi kuu ya vodacom.
 
simba 1 - 1 Azam FC mrwanda 35', odhiambo 45'
ni matokeo ya huko zanzibar muda mfupi gemu imemalizika..
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wachezaji wa Azam[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



HATIMA ya Azam FC kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Urafiki, inatarajiwa kujulikana leo, wakati itakaposhuka dimbani kumenyana na Mafunzo katika mchezo wa mwisho wa kundi A, Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Azam ina pointi mbili tu, baada ya kucheza mechi mbili na kutoa sare zote dhidi ya U23 ya Zanzibar, maarufu kama Karume Boys na Simba SC, wakati Mafunzo haina hata pointi moja.
Simba inaongoza Kundi hilo kwa pointi zake nne na leo itakuwa inamaliza na Karume Boys yenye pointi nne pia.
Azam inatakiwa lazima ishinde na wakati huo huo ikiombea duwa mbaya Karume Boys ifungwe na Simba, vinginevyo hata yosso hao wa Zanzibar wakitoshana nguvu na Mnyama, Wana Lamba Lamba wanaweza kuaga.
Kwa sababu hiyo, mechi za leo zinatarajiwa kuwa tamu na za kusisimua kulingana na kwamba ndizo zitakazoamua timu za kusogea Nusu Fainali.
Jana zilichezwa mechi za Kundi B na Super Falcon iliilaza Jamhuri ya Pemba bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Super Falcon ilipata bao hilo kupitia kwa Mbarouk Marshed dakika ya 44, aliyefumua shuti kali na kujaa nyavuni.
Kwa matokeo hayo, Falcon inaongoza Kundi B, kwa pointi zake tatu, mabao mawili ya kufunga na moja la kufungwa, ikifuiatiwa na Jamhuri yenye pointi tatu pia, mabao matatu ya kufunga na mawili ya kufungwa. Lakini pointi hizo Jamhuri ilivuna mbele ya Yanga, ambayo imeenguliwa.
Ikumbukwe kundi hilo, limebaki na timu tatu tu, nyingine ikiwa ni Zanzibar All Stars baada ya kuondolewa kwa Yanga kwenye michuano hiyo kwa kitendo chao kupeleka timu B, badala ya timu A.
Katika mechi za awali za Kundi A, Simba SC ilitoka sare ya 1-1 na Azam FC juzi.
Simba ilitangulia kupata bao dakika ya 35 kupitia kwa mshambuliaji wake iliyemsajili kutoka Dong Tam Long An ya Vietnam, Danny Mrwanda, lakini Azam ilisawazisha kupitia kwa George Odhiambo ‘Blackberry' dakika ya 45.
Abdulhalim Humud alipewa kadi ya pili ya njano na kuwa nyekundu dakika ya 52 na kutolewa nje, hivyo Azam kubaki pungufu ya mchezaji mmoja uwanjani.
Katika mechi yake ya kwanza Jumatatu, Simba SC ilianza vyema baada ya kuifunga Mafunzo mabao 2-1, wakati Azam ililazimishwa sare ya 1-1 na Karume Boys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…