Akizungumza na tovuti ya Azam FC, kocha msaidizi wa Azam FC kalimangonga Rampling Daniel Ongala AVB amesema kwa maandalizi waliyoyafanya ana uhakika wa kuibuka na ushindi na kujiweka katika mazingira bora ya kuwania taji la VPL msimu huu.
leo ni leo vijana wa alamba alamba matajiri wa chamanzi kukipiga taifa na mabingwa wa tetezi wa VPL yanga..
″nawahakikishia ushindi wa kufa mtu alisema hayo ni Ramadhani Chombo 'Redondo'″ alikuwa anaongea na The Official Website of Azam Football Club | Tucheze pamoja kwa furaha
Kipa wa Ruvu kapanch redondo kafunga kobendela kasema offside, dk 2 baadaye Ngasa kaangushwa ndani ya 18 refa kapeta kituko cha mwaka kikaja wakati wachezaji wa3 wa Ruvu walikuwa offside refa kapeta lakini Kama kawa mwadini akaokoa magoli bado 0-0