ndio ground la nyumbani hilo..
.....kwanini asitolewe!!!!!!!!!!goli la tano babi.. anazingua..
kumbe Bocco ameanzia benchi! siku hizi ameanza kuchuja??azam sub
babi out bocco in
mkuu ndo nadandia gari kwa mbele,naomba matokeo!kona ya tatu kwa azam kipindi cha pili..
Bado wanalinda heshima ya Nchi; kufungwa nyumbani mwiko.90+4 Azam 2 - 1 Al nasr