The Official Azam FC Thread

hii beki inajisahau sana hawa watu ni hatari tupu..
 
hii pitch hata ya shamba la bibi zuri bana..
 
goooooooooooooooooooooooooooooo azam moja al nasri hakuna kitu..
 
bocco anaiandikia bao la kwanza hapa..
 
mchaaaaaaaaaaaaa gooooooooooo azam mbili al nasri bila...
al nasri 0 - 2 azam
 
huyo sure boy wata juta kutufahamu....
 
sub al nasri
samwel martin out fabian elia in
 
kipindi cha pila kimeanza tayari..
al nasri 0 - 2 azam
 
saidia ya azam yaa aila yaila..

gooooooooooooooo bocco la tatu...
 
hawa watajuta sana maana walichokutana nacho leo sio kile walichokiona taifa first leg..
 
gooo yalaa yalaaa yaulaaa hii ni sauti ya kisudan hii..
 
goooooooooooooooooooooooooo kipre cheche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…