The Official Azam FC Thread

aishi manula naona anajisahau sana..
 
dk 43 mchezaji wa polisi moro anaumia hapa
 
dk 47 polisi wanakosa goli hapa aishi anatoa..
 
kipindi cha pili kimeanza sasa

bado azam mbele kwa bao moja..
 
hapa naona wa azam wanashambuliwa sana..
 
Una moyo na hii timu yako ya makuli wa mwarabu, ngoja nikuunge mkono manake naona uko mwenyewe kama shomoro wa jangwani.

Azamu hoyeee!
 
penati hapa polisi wanapata baada mwantika kuunawa kizembe..
 
hapa naona azam wanafikiria sana liberia kiasi cha kuwaacha hawa polisi kushambulia sana..
 
hapa anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu mcha hamisi
 
Dk 70 Azam fc 1 - 1 polisi moro mchezaji wa polisi moro kaumia hapa..
 
hii gemu wasipokuwa makini azam tunaweza toa droo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…