The Official Azam FC Thread

kinachotakiwa hawa vijana wa azam watulie tu maana tunahitaji ushindi wa hali ya juu..
 
mara ya mwisho azam ilicheza na barrack yc na kushinda 2 kwa 1 hii ni mara ya pili wanakutana tusubiri tuone nini kitatokea..

kila la kheri Azam FC
 
baada ya azam kuingia kwenye warm up huku wakipigilia jezi za njano ikabidi yanga washangilie kishingo upande tu..

Forza azam fc
 
wachezaji wa akiba wanaingia uwanjani..
 
kuna askari kazomewa hatari kisa kupiga shabiki bila sababu..
 
hapa kidogo tu kipre aue dah.. goli kick
 
Vipi dalili za ushindi zipo maana nataka kubet kwa second half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…