The Official Azam FC Thread

Erasto Nyoni anapiga sasa..Anafunga..Kipa kafungwa hovyo..Penati ya hovyo
 
Azam ni kati ya timu mbovu tz hii game ilitakiwa kuisha mapema.
 
Madhara ya dhuluma hayo,mlitupokonya nafasi yetu kwa kushirikiana na Kichefuchefu
 
Azam FC inawaalika waandishi wa habari za michezo Chamazi Complex leo.... Usafiri wa basi la Azam FC utakuwa TFF Karume saa tatu asubuhi kuwapeleka chamazi na baadaye kuwarudisha....Kuna habari kubwa ya kimapimduzi itakayotangazwachamazi leo.......... Stay tuned

sosi azam fc fb page
 
Hongera kwa yanga kwa ushindi wa ngao ya jamii..
na pole zetu wanaazam..
 
Thanks admin of azam fc page for your words..
 
Team today
1. AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. GADIEL MICHAEL
4. DAVID MWANTIKA
5. AGGREY MORIS
6. MICHAEL BOLOU
7. HIMID MAO
8. MUDATHIR YAHYA
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. SALUM ABUBAKAR
11 KIPRE TCHETCHE

SUBS
1. MWADINI ALI
2. SAID MORADI
3. ERASTO NYONI
4. BRAISON RAFAEL
5. KHAMIS MCHA
6. FARIDI MUSSA
7. GAUDENCE MWAIKIMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…