The Official NBA Thread

i am trying my best to trust him but cant compare with KD
wakulaumiwa hapa ni coach kwa kutotafuta point guard wa ukweli, Chalmers is not up to the task, hebu check hako ka-pitbull Rondo kanavofanya vitu. Hako ndio kanako-set tempo ya Boston.
 
wakulaumiwa hapa ni coach kwa kutotafuta point guard wa ukweli, Chalmers is not up to the task, hebu check hako ka-pitbull Rondo kanavofanya vitu. Hako ndio kanako-set tempo ya Boston.
rondo is on another level aisee
 
vibabu vinachukua hii. miami too many mistakes and never seems to recover after giving away 13 point lead
 
inaboa sana, i think western conference winner will take it
 
inaboa sana, i think western conference winner will take it
kaka pietrus alipochoma tu zile 3 nlijua tu hapa ngoma tayari mwali keshabeba pacha. hata hivo huku nilishaona hakuna wa kuchukua ndoo.
 
leo nimeboreka sana............ the Miami guys played like nannies
 
Mmmh! Leo sijui nmeingia thread gani.. Nisameheni wa humu ndani.. Naona ni mambo ya Obamaland, hata maandishi ni ngeli kwenda mbele.. Duuuh! Nyi wote wa kishua, sante kayumba nimepita bahati mbaya.
Haya kwaherini.

Mbumbumbu Intelligent.
 
inaboa sana, i think western conference winner will take it
yah man.....kama boston akitake eastern basi okc atasumbuka sana kuchukua ndoo....ila hawa heat kwa okc watatepeta......heat haicghezi kitimu mchezaji mmoja mmoja ndio wanabeba timu.....angalia only lebron na wade ndio wana doble figure kwenye point...pia no dought the east is tied because of Rajon Rondo....ambae amekuwa better than LeBron James or Dwyane Wade....pia kibabu garnet yuko on fire balaa....kwa kifupi naona celtics wakiingia finals watafanya ubingwa wa okc kuwa mgumu.....
 
who is the best point gurd so far? jasson Kidd, stive Nash, Stockton, Payton,allen iverson,derrick rose,russel westbrook,chris paul maana naona watu wengi wanamuweka rajon rondo nae katika ma best PG so far....
 
who is the best point gurd so far? jasson Kidd, stive Nash, Stockton, Payton,allen iverson,derrick rose,russel westbrook,chris paul maana naona watu wengi wanamuweka rajon rondo nae katika ma best PG so far....

i think......he os on his way up there with the game's elites....but,not yet!
 
i think......he os on his way up there with the game's elites....but,not yet!
kuna watu wanasema dogo RR anaweza kuingia kwenye list ya akina payton..kwangu mie naona bado sana kuingia kwenye list ya wakali hao......
 
who is the best point gurd so far? jasson Kidd, stive Nash, Stockton, Payton,allen iverson,derrick rose,russel westbrook,chris paul maana naona watu wengi wanamuweka rajon rondo nae katika ma best PG so far....

Arifu Yo Yo, mimi naona Westbrook, Rose na Rondo bado hawawezi kuingia kwenye league ya elites kama Kidd,Nash,Payton na I3. Ngoja tuone consinstency yao katika misimu 5 au zaidi ijayo,wasije wakawa blunders misimu ijayo.
 
Last edited by a moderator:
Jamani msimlaumu sana Lebron jamaa ndio best in da game tatizo linakuja ni hivi.

1. Boston Celtic wanaujuzi Manager Doc Rivers na KG-Pearce_Allen tayari watu wapo kwenye game maswala ya wapi sio pakuogopa ku shoot washapitia sana wakiongeza na kibulibuli chao Rondo ndio kabisa.

2. Miami hawana Fundi mzuri jengine PG hawana wanategemea sana Wade na Lebron ni Big 2 sio Big Three ni Big 2 feturing 1 Bosh

3. Media na Social Media uhuru wa kutype na kuandika habari siku hizi upo nje sana kukosoa kila mtu ndio kinachowaangusha yule Mwana Lebron James wakati muda upo siku hizi kwenye sports kosa moja kila mtu Twitter na FB wanauwa kushinda hata Media zenyewe.

Miami kwa ujumla lawama walizitaka pale Wade na Lebron na Bosh walivyojitengenezea timu ndio hapo watu inawafanya wawahukumu yakuwa wanatakiwa kupata Ring mapema. Lebron kama angeenda Chicago japo siipendi Chicago basi kule angesha win Ring pia Miami sizani kama watawaachia hivihivi Boston Celtic waende easy FINAL,

Lebron kwa sasa hivi Mpenzi wake ananafasi kubwa ya kuwa Mke na kuvalishwa Pete mwanzo ndio Lebron baadae zaidi ya hapo wanaosema Kevin Durant ni zaidi ya Lebron si kweli Lebron ni Best zaidi ya Kevin Durant ila nitafurahi zaidi DURANT ndio abebe FINAL MVP na ring tofauti ya Durant sehemu ngumu ya 3 anapiga Lebron anatowa pasi kukimbia lawama ila Lebron ndio Best.

Napendelea Boston na OKC final ili OKC wabebe.
 
kuna watu wanasema dogo RR anaweza kuingia kwenye list ya akina payton..kwangu mie naona bado sana kuingia kwenye list ya wakali hao......

Steve Nash,Stockton,Jason Kidd,Allen Ivy are on the league of their own arifu!hawa machalii need to wait and make sure their form stands a test of time to ever be regarded as of the game's greatests!
 

Mkuu Pazi nakuunga mkono katika suala la nani mkali kati ya the king na Durant.

Ila katika suala la finals,mkuu mimi naona kama game 6 za east na west ndizo zitakazoamua. Kwa sasa napata tabu kuamini kwamba final itakuwa kati ya Celtics na Thunders.
 
Last edited by a moderator:

Kaka, wababu wamebahatisha tu, tofauti ktk game hizi 2 za East it is more than nani amechemka zaidi kuliko nani amecheza vizuri zaidi. Ukiangalia G4 utaona vibabu vili-capitaliza kwa mbinu hafifu za Spoeltra ktk sekunde za mwisho za NT, ilivoenda OT nadhani walimanage vikapu vitatu tu. Halafu sielewi kwanini anambenchisha yule m-babu Anthony, the guy can offer buffer kwa D. PG kaa ulivosema ni tatizo na Chalmers hajazoea kuanza, yeye ni mtu wa kuvizia 3 from bench kama Jones. last season Arroyo alianza kama PG na yeye ikaonekana inashoot very badly, ingawa alikua na kasi lakini final delivery ilikuwa poor sana.

Natabiri series inaweza isiishie G6 lakini siamini Heat wanaweza kushinda G6 & G7 consecutively, naona itakua ngumu sana, hivo in the end wababu wanachukua conference ya huku. Boston are not that trustworthy, Spoeltra angemuwekea mkakati-kazi Rondo, wababu hawana pa kutokea. ktk G5 Rondo alipotezwa kwene Q3&4 na uliona wababu walivosulubishwa from lead ya vikapu vingapi sijui mpaka kuponea OT. Ukimfrustrate Rondo, Pierce & Allen watafunga 3 chache lakini si zote maana penetration za Rondo ndo huwa zina-expose hizo 3, Pia high-end delivery za KG zitapungua kutokana na kupungua assists.

Pat Riley sijaelewa anaogopa kumsulubisha huyu Spoeltra, maana tactical errors + some of the mistakes are too typical, trendy and obvious. dah, nawasikitikia investors wao.
 
yo-yo amefanana sana na mchezaji mmoja wa OCT jina lake linaanziwa na James ..........

Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
I hope OKC won't waste this golden chance to shine infront of their fans....walete walete walete!!





 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…