Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
kILA NIKIWAANGALIA OKC, NAPATA TASWIRA YA HASHIMU NA MIHANGAIKO YAKE NA MADEREVA WA VIBAJAJI
leading one point now..........
Wanaweza kushinda hii game pamoja na kuwa walikuwa down kwa 18 points...5 points game and there is plenty of time for OKC to win this game.
leading one point now..........
Hashimu alipata chansi hapa, akawa passive, IBAKA anapeta mamake zake
haiya wapenzi wa OKC timu yenu inarukaruka tu, 12 point game to SAS. Parker anaonesha utu-uzima dawa.
i am in tears... tears of joy
mazee, kwa kumtoa SAS tunasema wanastahili, lakini kocha mjanja akipanga nao matchups za ukweli, series inaeza kuwa very intriguing. hata mie na-root kwa hawa wadogo wachukue ring. kumcholopoa bingwa mtetezi - Dallas, Lakers kisha SAS si kitoto.pumzi kaka
naanza party
and that is where my few quids are.... it is never easy to take 3 "common champions" in one year,mazee, kwa kumtoa SAS tunasema wanastahili, lakini kocha mjanja akipanga nao matchups za ukweli, series inaeza kuwa very intriguing. hata mie na-root kwa hawa wadogo wachukue ring. kumcholopoa bingwa mtetezi - Dallas, Lakers kisha SAS si kitoto.
bwahahahahaha thats ma man.....
AKA madevu....