Haya bana, basi mie naanza ku-root kwa Miami kuanzia dk hii kuchukua ring.
OKC jana walianza nervously, luckily they made it through. Miami wakianza kwa mcheche itakula kwao maana ukishapoteza winning mentality na kupanic hapo ndipo uzoefu wa wababu utakapotumika.I think game seven itakua Armageddon ... it is not possible kwa celtic kuachia kirahisi vile!!! its like they were already raring to go to game seven with all teh rage and anger
cant wait really
OKC Miami itakua ngumu zaidi kwa OKC coz they are still young and programmed so its tough to play individual game ya miami but with cetlic it would b easier
cant wait for MIAMI vs. OKC
my boi james harden unajua alikuwa drafted mwaka mmoja na hasheem thabeet.....kama pick namba 3....wakati hasheem alionekana mkali akawa pick namba 2.....
whats wrong na hasheem mazee???? ukiangalia wenzake waliokuwa drafted wako mbaaaaaaaaaali saana..ni wakali balaa....hebu muangalie blake griffin mcheki ricky rubio....mwangalia jordan hill,deMar DeRozan,brandon jennings wanavyo shine.....huyu mbongo hasheem ana matatizo gani wakuu??
Stats za Le Bron zimevunja rekodi kwenye playoff, amejibu critics kwa leo.
hii game 6 celtics kweli walizidiwa......naona walifikiria itakuwa rahisi kwao....garnet na puch ups zake bana hahaha....
game 7 haitakuw arahisi kihivyo kwa miami....bado nawapa karata ya ushindi celtics kuingia finals kwa east....
hii game 6 celtics kweli walizidiwa......naona walifikiria itakuwa rahisi kwao....garnet na puch ups zake bana hahaha....
game 7 haitakuw arahisi kihivyo kwa miami....bado nawapa karata ya ushindi celtics kuingia finals kwa east....
Ni kweli kwamba Celtics wanaweza kushinda Miami, lakini kama King LJ ataweza kurudia impressive performance kama ya jana basi sidhani kama Boston wataona ndani...
Umeona ee?Tehtehteh Rondo kanifurahisha kadunda kufika kumuona Lebron james chini ya Rim kageuza Lebron muda mwengine anatishia watu imani unaona mh block litapiga hili jamaa.
Umeona ee?