Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
LAL trailing 2-0 home court advantage gone. Sad as it seems that foul - mouthed buffoon Cuban will have a last laugh in this one.
Naweza ku-bet kwene championship final. Baada ya gemu 2 zijazo za LAL na el Heat ntajua wapi pa kueka pesa yangu.Mazee still wanna bet? I'm putting $150.00 Miami Heat all the way....
NN bingwa mwaka huu ni Da Bulls (if they will be able to stay away from injury) , kama siyo wao basi ni Dallas choice yangu ya tatu ndiyo Miami Heat.
Da Bulls? Hmmm, we'll see. Tuone watakavyo fare na Hawks now that the series is moving to the big ATL.
LA Lakers kwishnei!!!
IN TOTAL COMMAND - DALLAS MAVS
Dallas wanaongoza series 3-0 -
Bynum kafunga points zaidi ya Kobe leo!!!...Ngoma imeisha 98-92 in favor of Dallas.
.....lakers kwishney na leo watafunga virago. Poor Kobe Bryant....ila hawawezi kufululiza kuchukua ushindi zaidi ya mara 2.
3peat is no a joke.
Only his Airness could do that in recent years.