The One Africa Building! This one must win a continental award next year!

Katika ishu ambayo Tzn imeshindwa kama nchi ni suala la mipango miji,vinyumba vyetu hivi vidogo basi tungevipangilia angalau ingependeza lakini wapi nchi nzima hali ni kama hiyo,ukiuliza unaambiwa hakuna pesa za kupima viwanja lakini ccm wanaiba pesa na kutumia pesa vibaya kwenye chaguzi hewa inasikitisha sana sijui tulimkosea nini Mungu kutupa laana ya liccm kwenye nchi yetu nzuri ya Tzn
 
I have realised that you are more than mad.
 
Au ulitaka kuona hizi[emoji23][emoji23][emoji23] Show me such in Kampala.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 896434View attachment 896435View attachment 896436View attachment 896437View attachment 896438View attachment 896439
Have shown you the common/average residence of which kwenyu ni ovyo sana., you are showing me your suburbs zenye less than a quarter ya Dar can afford[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you dont have equivalent to Kampala., weka average dwelling, kama Kenya's eastlands hivi..,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] 10 nil!! Onyesha makazi ya average raiya wa Dar., not govt buildings and selected suburbs zenye raiya wa kawaida wa Dar cant afford. What if I drop Munyonyo, Bugolobi, Muyenga, Ntinda, Bunga etc., those are suburbs in Dar na ziko dense., I walked around and was impressed by the progressed compared with when I was here 2008., kaka am in Kampala right now, u can trace my inyrrnet to confirm., I posted pictures I took randomly mtaa ya raiya..,
 
Hakuna kitu unaniambia., your unsubstanciated arguments exposes your ignorance and limited mindset ya kitoto., grow up and face the reality that is Africa, jikubali upone.
 
High income earners
Masaki
Oysterbay
Upanga
Posta
Mikocheni
Mbezi beach
Kigamboni some parts
Mbezi louis some parts


Average citizens wengi wanaishi maeneo ya
Mbezi louis
Kinodoni
Kibamba
Tabata
Kimara
Kigamboni
Tegeta
Bunju
Boko
Keko
Cha ngombe
Sinza
Kijichi
Kijitonyama

Kwenye most of hizo sehemu nyingine ni planned na nyingine haziko planned vizuri
Unplanned areas ambazo most of low income earners
Tandale
Kiwalani
Buguruni
Vingunguti
Mbagala
Manzese
Yombo
Temeke
Tandika
Gmboto

Goverment actions.. Kuna project goverment imekopa world bank almost 700mil usd inaitwa Dar Metropolitan development (making roads, markets and ring roads plus to control floods) and more mtu anaweza chk youtube Kazi inafanyika kwa ajili ya ku develop most of poor parts and unplanned areas.. ..Ku plan itakuwa ngumu kwa sasa unless gov iwajengee affordable housing watazo rent kwa price wanayorent sasa hiv tht is around Tsh 10k to 30k per month sasa hi project naona bado sana..na serikali ingeweza kuwa ina tenga hata Tsh 100bil kwa mwaka kwa ajili ya hii but i dnt see that in near future

Google kujionea hayo maeneo ya average citizen mengi yako planned ..
 
Mumbai mmoja analinganisha Dar na KampalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimesubilia picha hadi sasa sijapataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna kitu unaniambia., your unsubstanciated arguments exposes your ignorance and limited mindset ya kitoto., grow up and face the reality that is Africa, jikubali upone.
Kukubali kuishi kwenye uchafu na uozo ndo nini sasa kilaza wewe ? , humo kichwani mwako umejaza mavi ...........shwain
 
Nimesha kuwekea. huko mwanzoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Au huoni. Hizo sehemu niza matajili.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ntinda wamejenga matajili fala weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Weka hapa picha nikujibu kwa pichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwezi ni pumbaza na few selected residents., hampo!!
Average Dar populace residential 80% +, ni hapa kaka
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hahahaaa! Did I heard you say 'a meeting'? Which United Nations meeting and when?. I want to hear of meetings. Just name them as I did above.
Did i heard!!!! [emoji23] RIP English
 
Kampala has better suburbs than Dar. Dar only beats Kampala with the CBD.
Nimekaa Kampala miaka mitano! Sizani kama kuna mji ambao umekosewa zaidi ya Kampala hapa E.A. Tatizo lina anza na milima, unajua sehemu yenye milima uki ikosea ku plan ni ngumu sana kuiweka sawa, hii ni debate inayo endelea sasa hivi Kampala. Barabara nyembamba, foleni kali, matatu zao (Taxi) ni vi hiace ukiongeza na boda boda unakua uchafu full vurugu. Maji ni shida sana, taka taka zimezagaa. Unge stick na kuitetea Nairobi msee, kwa Kampala utatumia nguvu nyingi sana.
 
Hilo tatizo lime enda likipungua kwa kusaidiana na sekta binafsi. Kuna vitu vinafanywa kuondoa hili tatizo.
 
Did i heard!!!! [emoji23] RIP English
That was a quick fix charge done hurriedly, I can assure you that I can beat you hands down both written and spoken. Get that ringing in your head.
 
That was a quick fix charge done hurriedly, I can assure you that I can beat you hands down both written and spoken. Get that ringing in your head.
I know you are the best English speaker in E.A, you can also beat me in Maths, Chemistry, Biology e.t.c. Inshort you are the best in everything [emoji23] . Have a good day one-flash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…