JaxenDL JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 221 Reaction score 495 Sep 9, 2022 #1 Ningependa kujua sheria yetu hapa nchini inawajibisha vipi watu waliohusika na mauaji. Endapo wahusika watakua wawili 1/Anayetaka mauaji yatendeke, huyu ndio anabeba sababu na kwa upande mwingine anamlipa mtu ili atekeleze. 2/Anayefanya mauaji.
Ningependa kujua sheria yetu hapa nchini inawajibisha vipi watu waliohusika na mauaji. Endapo wahusika watakua wawili 1/Anayetaka mauaji yatendeke, huyu ndio anabeba sababu na kwa upande mwingine anamlipa mtu ili atekeleze. 2/Anayefanya mauaji.