The only Biggest and Modern Cancer Institute in Africa

The only Biggest and Modern Cancer Institute in Africa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hii ndio Hospitali pekee katika Afrika, ambayo ni Hospital ya serikali, yenye vifaa vya kisasa kabisa, dawa za kisasa na inatibu bure magonjwa ya saratani kwa wananchi

Zingine zote zilizoko South Afrika na nchi zingine, ni private, PPP au ni serikali lakini zinalipisha gharama.

Katika ukanda huu, hii ni Hospitali pekee ya serikali yenye mashine ya kisasa kabisa kutokea duniani kwa kutoa tiba ya mionzi, ijulikanayo kama "Lenear accelerator". Kenya MASHINE hii haipatikani katika Hospital yoyote ya serikali.

Angalizo: watu ambao sio raia wa Tanzania, wanalipia japo gharama zipo chini sana.
 
Pwahahahaa, You fools are just truly fools
 
Ocean Road Cancer Institute kuanza kutumia "PET scan" kuanzia January 2020. Hii ni Historia ingine inaandikwa Africa, ni Hospitali pekee ya serikali yenye mashina hii ya kisasa kabisa duniani, huduma ni bure kwa watanzania wasio na BIMA ya Afya. Kwa wakenya gharama ni sawa na 20% ya gharama mbazolipishwa hapo Nairobi Hospital, karibuni sana majirani.
 
pia kuna hili umesahau baba

Radiotherapy equipment at ORCI first in Africa’
ippmedia.com/en/news/‘radiotherapy-equipment-orci-first-africa’

March 30, 2019
30Mar 2019
Henry Mwangonde
DAR ES SALAAM
News
The Guardian
‘Radiotherapy equipment at ORCI first in Africa’
EQUIPMENT for improved cancer care and treatment costing 9.5bn/- were launched at the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) in Dar es Salaam, making Tanzania the first country to install such equipment in Africa.

samia.jpg

Ocean Road Cancer Institute managing director Dr Julius Maiselage (2nd-L - foreground, gesturing) briefs Vice President Samia Suluhu Hassan shortly after the inauguration of a cancer treatment building and two modern radiotherapy machines at the Dar es Salaam-based medical facility yesterday. Photo: VPO
Speaking at the launch of the Linear Accelerator (LINAC) and CT Simulator, Vice President Samia Suluhu Hassan said plans are underway to install such equipment in all referral hospitals in the country so as to strengthen service provision and reduce congestion at the ORCI.

The VP said cancer can be overcome if Tanzanians can develop the habit of checking their health frequently.

She said a report by the International Agency for Research on Cancer (IARC) in September last year showed that Tanzania had 42,060 cancer patients while 28,610 patients die every year.

“The problem is that almost 75 per cent of the patients come here when the disease has reached its last stages hence making efforts to treat and cure it complicated,” she said.

Given the fact that 80-percent of cancer patients in Tanzania need radiotherapy, the government decided to strengthen the availability of the services in the country, she pointed out.

The installation of the machines will save 7.5bn/- per year and serve close to 300 patients who were being referred to India for treatment, with a single patient spending over 50m/- in those referrals.

The VP however cautioned that centres to offer the services must be inspected thoroughly to ensure the quality levels needed are reached, as well as ensuring that no one takes the opportunity to sell cancer drugs at a high price because the drugs already cost too high.

Ummy Mwalimu, the Minister for Health, Community Development, Gender, Children and Elderly, said in her remarks that in 2015, ORCI and Bugando Hospital in Mwanza were seeing 8200 patients, equivalent to 19.6percent of all patients in the county.

Three years down the line, after improvements about 13,400 patients were attended to in the two facilities along with the Muhimbili National Hospital (MNH) and the Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC), equivalent to 31.9prcent of all patients.

The minister said this situation rose from long distances and poor quality of services caused by congestion and the time spent to receive the services.

She was happy that the government had increased funding for availability of cancer drugs at ORCI and MNH from 790m/- in 2015/16 to 7bn/- in 2016/17 and in the following year.

The level of availability of the drugs for 2015/16 was only four percent at ORCI which raised concerns, but in February 2019 availability had increased to 92 percent for exempted drugs while availability of other drugs was 95 by October last year.

Jean-Luc Devleeschauwer, the president of Oncology Systems for Varian Medical Systems based in the United States, which installed the machines, said Tanzania will be the first country have such machines in Africa.

“With such machines Tanzania is set to have a future with people without fear of cancer,” he told the gathering.
 
wana upuuzi mwingi!
Wajinga sana hawa jamaa, huko kwao wanajazana ujinga sana, TV na magazeti yao huwa yanawajaza sifa za kijinga sana, kila kitu wanaambiwa wa ndio wapo mbele, wakijenga barabara, utasikia, Super high way", wakijenga kiwanja cha ndege, "International Airport", wakijenga Hospital ndogo " Referal Hospital.

Hawana taarifa kabisa kwa yanayoendelea nje ya Kenya, hata ndani ya Kenya hawaelizwi ukweli zaidi ya sifa za kijinga.
 
wanajazwa upuuzi!
 
Moderator hongera zenu kwa kazi nzuri mazee... ila mitusi imejaa humu jukwaani dah.
Tatizo ninyi ni washamba sana, kupenda kujisifia Sana, wakati Hamna taarifa za kutosha kuhusu nchi zingine. Huu ni mfano mmoja tu, ngoja tuje katika sector za MAJI, Umeme, barabara na Viwanda, mtachanganyikiwa kabisa.
 
BTW natafuta muda nianzishe bifu la maji Tanzania vs Kenya!
 
Wajinga sana hawa jamaa, huko kwao wanajazana ujinga sana, TV na magazeti yao huwa yanawajaza sifa za kijinga sana, kila kitu wanaambiwa wa ndio wapo mbele, wakijenga barabara, utasikia, Super high way", wakijenga kiwanja cha ndege, "International Airport", wakijenga Hospital ndogo " Referal Hospital.

Hawana taarifa kabisa kwa yanayoendelea nje ya Kenya, hata ndani ya Kenya hawaelizwi ukweli zaidi ya sifa za kijinga.
Nilikuwa na interact na mungiki flani kwenye site yao kuhusu jaribio la wizi bank yao kuna wana IT walitaka kuwapiga kidigitali. Sasa tunajadili ila zaidi ya 70% ya wakenya wanasema hiyo sio big deal wako busy kufatilia impeachment huko US. Mambo ya kwao baadae maana yapo tu siku zote.

Ndio mindset zao na attitude zao. Wanaangalia mbali sana hadi hawaoni chini ya Pua zao.
 
Tatizo ninyi ni washamba sana, kupenda kujisifia Sana, wakati Hamna taarifa za kutosha kuhusu nchi zingine. Huu ni mfano mmoja tu, ngoja tuje katika sector za MAJI, Umeme, barabara na Viwanda, mtachanganyikiwa kabisa.
Viwanda gani???
 
Hii ndio Hospitali pekee katika Afrika, ambayo ni Hospital ya serikali, yenye vifaa vya kisasa kabisa, dawa za kisasa na inatibu bure magonjwa ya saratani kwa wananchi

Zingine zote zilizoko South Afrika na nchi zingine, ni private, PPP au ni serikali lakini zinalipisha gharama.

Katika ukanda huu, hii ni Hospitali pekee ya serikali yenye mashine ya kisasa kabisa kutokea duniani kwa kutoa tiba ya mionzi, ijulikanayo kama "Lenear accelerator". Kenya MASHINE hii haipatikani katika Hospital yoyote ya serikali.

Angalizo: watu ambao sio raia wa Tanzania, wanalipia japo gharama zipo chini sana.

Hivi kwa nini hawa ndugu zetu wa kaskazini wanapenda kutumia superlatives? The best, the biggest, The most....
Ninahisi kuwa hii ni ishara ya inferiority complex. Kwani ukiwa the best, the biggest... and the most.... you dont have to shout out for attention.
 
Back
Top Bottom