The Only Man I ever met in my Lifetime so far

Mtoa mada anamnanga binamu yake
kisa yeye kasoma na ana maisha mazuri
ambayo anahisi huyo binamu yake angeyapata kama angeolewa na huyo mshkaji muislamu
Samahani kwa kunielewa vibaya, sikusudii kumnanga binamu yangu ila nimejifunza my Cousin Loved Ibrahim bila kumfahamu kwa kujua ni familia gani anatamani kuijenga!!! Na haya makosa wengi tunayafanya, from day one Ibrahim never changed his standards hivyo kuendelea kumpenda mtu ambaye fika unafahamu anatamani mke wake afanane vipi na wewe hufanani hivyo huoni kuna shida!!!

Ibrahim vivyo hivyo ana makosa kwa kutafanya jutihada kumsaidia mwenzake afikie vile alivyotaka LAKINI KITU PEKEE AM REAL PROUD OF HIM HAJAWAHI KUUCHEZEA MWILI WA BINAMU YANGU KITU AMBACHO WANAUME WENGI HAMUWEZI!!!!!

Wengi humu ni siku moja na pili ni ngono whether una malengo naye au huna tena wakati mwingine na mimba juu then unamwambia tutalea mtoto baada ya hapo kila mtu na sabini zake....
 
Kwenye uhusika hapa hapo kwenye Cousin naona kama ni wewe mwenyewe umeficha privacy.

Ila huyo Ibrahim naona ni species za kipindi cha farao.

Hiyo misimamo kwa sasa ni ideal.
 
Ahahaa...kuna case kama hyo ishanitokea,demu alikuja adi nyumbani kutangaza ushindi kwamba Mimi nataka kumuoa....nikampotezea kwa kisingizio cha hakutaka kusilimh (kubadili dini) adi nimuoe,Ila ukweli demu sikuvutiwa nae sema tu sikupenda kuona anajisikia vibaya....adi leo yule demu nikikwambia kesho nakuoa yupo tayari
 
Mimi ningekua ni ibra nakwambia ningekunyandua wewe na uyo cousin wako sababu ni ulimuelewa huyo ibra kuliko cousin yako
 
Binti yangu ungetumia lugha moja kati ya hizo mbili badala ya kuchanganya, stori yako ingeeleweka na kuvutia. Ni ushauri tu.
 
Wonderful story. Having gone through your story I realized that there is real & true love, though, Ibrahim Rehema were very naive.
 
Mbona story ni kama ya movie ninayoijua??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…