Yani Mwifwa kaanza kua chamdeko nae?Sema Demiss kamuambukizaaa Mwifwaaa mahabaaaaa na siku hizi ameanzaaa kudekaaaaa
siredi eeh![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] afadhali umekuja wifiiiiiii mwambie kaka akuandikie sirediiii
Sawa mdogo uwe na usiku mwema.Njema sana dada
Hicho kikristo ndo ushaniacha mataa ya ubungo paleHahahahaha lol! Umeeleweka beingsingle is also a privilege somehow, au siyo?
WoyooooEeeeh! [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jamani mbona leo mmenikamia!
Ngoja najiandaa siku nikutia uzi hapa jf yote mtaifunga mje kuucheki uzi wa kimataifa huo
Pole dia, pana vumbi sana hapo?[emoji124][emoji124][emoji124]....chafyaaa[emoji79]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema Demiss kamuambukizaaa Mwifwaaa mahabaaaaa na siku hizi ameanzaaa kudekaaaaa
mwingine nani?Usije kufungulia siredi mwingine tu [emoji23][emoji23]
Hicho kikristo ndo ushaniacha mataa ya ubungo pale
Yuko wapiNimemtafuta shem popote alipo mpaka nimempata...
Wewe nimekuchukia ujue, subiri surpriseDuuuuuuh ngoja nipite kimya kimya[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Ataweza tuuuAtawezea wapi huyo mtt wa idodoma [emoji2][emoji2]
Umeona eehNakaziaaaa
ngoja nikajifunze vizuri kiswahili dada yangu...[emoji4][emoji4][emoji4]Nasubiria kipaji chako cha kushusha mistari