Mnasubiri nini [emoji23] ?Jama yupo real mkuu [emoji23]....
Tunakusubiri wewe sasa
Nikawaida kweli lakini sasa Mwifwa ilikua kama masihara ata alivyonitambulisha ilikua kiutani utani hivi sasa ndio nimeamini.....Haya mambo mbona kawaidah mkuu hakuna sababu ya kushtuka, au nakosea
View attachment 766824
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo wangu Basi ningetengeza dunia nyingine nzuri nikaishi na wewe tu. We ni chanzo cha Furaha ya maisha yangu kwani kuridhika kwa moyo wangu ni pale nikuonapo tu zaidi ya tabasamu lako hapo hunifanya nihamishe mawazo na niende katika sayari nyingine kimawazo.
Natafakari ukaribu wako hasa pale uwapo karibu na Mimi ni zaidi ya upendo Mara unifunikapo kwa joto lako tamu la uaminifu.
Hakika katika kila hangaiko lina raha yake. Kwani weee ni kile kisima nilichokitafuta miaka nikitembea jangwani na nyikani na hatimae Leo nimefika katika maji matamu ya kuburudisha hisia zangu.
Najiachia na naruhusu nafsi yangu itulie kwako kwani wewe ndio chaguo sahihi la moyo wangu.
View attachment 766829
Kweli na mimi nilijua anatania ila the ship is sailingNikawaida kweli lakini sasa Mwifwa ilikua kama masihara ata alivyonitambulisha ilikua kiutani utani hivi sasa ndio nimeamini.....
Li sirediMnasubiri nini [emoji23] ?
Mkuu umejipanga sana...Hongera Mkuu mie nasubiri mwaliko wa kuja kula pilau la nguvu lenye nyama tele, viazi, zabibu, mdalasini, bizari nyembamba na mazagazaga mengine bila kusahau kachumbari ya nguvu kisha kutililia suti na dancing shoes na kujirusha usiku kucha huku tukiwapongeza. Nitaleta na debe zangu ili tujirushe vizuri.
Akija uniite[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa tutapanga ngoja Neybright aje
Hahah!! Usijari mkuu huyu jamaa ni family member kabisa na nilishaanza kumfua muda sasa..Kweli na mimi nilijua anatania ila the ship is sailing
Give Mwifa a maaap!
Ukialikwa uniite na mimiHongera Mkuu mie nasubiri mwaliko wa kuja kula pilau la nguvu lenye nyama tele, viazi, zabibu, mdalasini, bizari nyembamba na mazagazaga mengine bila kusahau kachumbari ya nguvu kisha kutililia suti na dancing shoes na kujirusha usiku kucha huku tukiwapongeza. Nitaleta na debe zangu ili tujirushe vizuri.
HahahahaLi siredi
[emoji23] kwani haruhusiw kupenda nyie bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au Mwifwa kaibiwa simu yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli na mimi nilijua anatania ila the ship is sailing
Give Mwifa a maaap!
HahahahAkija uniite
Anaruhusiwa nae ni binadamu ila aisee!![emoji23] kwani haruhusiw kupenda nyie bana
Itapendeza zaidiHahahaha
Ngoja tuangalie utaratibu wa siredi
Ukialikwa uniite na mimi
Hahaaaa. Ndio hivyo familia inazidi kukua rafiki.Aiseeee
Aiseeee
Aiseeeee