EeehAiseee
Kwanza nakushukuru kwa kulibeba kwa uzito wake babe kaka!!
Mimi nilianza kupata wasiwasi baada ya kimya kutawala!! Lakini sikutaka kuonyesha ili Shunie asiumie!!
Na hata alivyokuja sikuona kama alikuwa tayari, ile haikuwa reaction ya mapenzi aki!! Kumbe ulienda kumbeba eeeh
[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu ntokee hapa, sasa aibu ya nini
Mungu kammulikia naeEwaaaaa
Wewe uliligundua hilo!!
Yaani bench sio mchezoo unaweza data
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]aisee..sawa " ukiwa unataka kumpatia hzo taarifa andaa na ambulance kabisa...iwe imepack pembeni "
HahahaEeeh
Yeye ni rafiki yako mimi pia ni mtu wangu wa nguvu. Skupenda ile shughuli iharibike.
Ila it was all well ila nikajua sku ile mlielewa nilicho kifanya hahah nilipiga kazi. I love y'all
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Siaibu ya hayo mambo jamani
HallelujahMungu kammulikia nae
Utalia Inna, Wacha kujifanya hujaelewa maandishintalia au ntatulia?
Love you so much honeyI love you
Usijari ndugu tupo pamojaUmefanya jambo la maana sana
Mbona unamfanyia visa shemeji yako?Anzisha uzi bas na ww sio unaimba tu i love u