makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
We nae wewe.. Mimi sina eeehh!!Bana badae tena nataka sasa hivi halafu mbebez wako yuko api makapuku mwenzetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna uigizaji kwenye tamuu weweWoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo nafurahi kusikia hivyo mie bongo movie tuwaachie wenye kazi yao ya uigizaji
Nasubiri kwa hamu zamu yako ya kushushiwa verse asali ifike swaiba[emoji40] [emoji125]Hongera sana Mwifwa!
hakika mwifwa nimwanamume wa shokaShemdarling hongereni jamani kujitoa muhanga na kushusha thread sio jambo la mchezo huo ni zaidi ya uwanaume
nimekupikia mume wangu kile chakula ukipendacho,njoo nyumban tutatoka usikuBabe lunch time hii, twende hoteli gani?
Wooooooozeeeer nakazia [emoji23][emoji23][emoji23] na haswa likishushwa thread kama hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna uigizaji kwenye tamuu wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakika mwifwa nimwanamume wa shoka
kama vile hajui mume na mke wanachokifanyaUchokozi huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hakikisha uwe na davet pembeni tusije laumiana bureeNaombeni na mm nikuje niwe kifesi wenu tu niwatwange maphoto
Mi piaNimekumiss mm jamani
Darlin namridhisha tu jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babe bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Babe Ahsante kwa jibu zuri
usijali lovieMsisahau tu kuniwekea picha
Hiyo tabia hata mi ninayo, yaani sa hv nabebisha pesaMi binafsi ni Gangster sinaga tabia ya kumbebisha dem wangu kiasi hiki,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ya mkosaji pyeeeeHiyo tabia hata mi ninayo, yaani sa hv nabebisha pesa
Mh mm jamani niliyepotea au wewe hivi babe sister wako hajakupa salaam zanguMi pia
Ulipotelea wapi ndugu yangu?
Nakuja mwenyewe tuhakikisha uwe na davet pembeni tusije laumiana buree
Mmmh! Niwe mkweli bae sista hajanipa salam. Ni kweli nilipotea ila nadhani pia bar sista alikwambia ntarudMh mm jamani niliyepotea au wewe hivi babe sister wako hajakupa salaam zangu
umeona eeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno ya mkosaji pyeeee