The only thing women want from men

Usitufanye kama hatujui kiingereza mkuu, kwanza umesema THE ONLY THING WOMEN WANT FROM MEN halafu ukajata vitu vingi wakati umesema only thing rather than things.

Usitupotoshe.
 
Ayo yote ntimize mtu mmoja kaka
 
playa playa, these bishes need much...thats a whole lot of stuffs right there, for the time being i can only five the one with capital letters, and thats on my government name...[emoji441] drop..
 
Hivi unajua davinci alikuwa na skenda za kuwa shoga shauri bwana mdogo
Skendo ni habari ambazo zinaweza kuwa na Ukweli au Uwongo Hamna Uthibitisho Huenda ni fitna tu za walimwengu kutokana kureveal codes

SIKUSHTUKA ila NLISHANGAA

hata hivyo skendo ilikuwa yeye ndio anamla mtoto wa mfalme ,ingekuwa analiwa yeye kweli 🤣🤣
 
playa playa, these bishes need much...thats a whole lot of stuffs right there, for the time being i can only five the one with capital letters, and thats on my government name...[emoji441] drop..
🤣🤣🤣
 
Wewe ni nani hadi ukajuwa haya. Mungu akusamehe sana.
 
Usitufanye kama hatujui kiingereza mkuu, kwanza umesema THE ONLY THING WOMEN WANT FROM MEN halafu ukajata vitu vingi wakati umesema only thing rather than things.

Usitupotoshe.
Kimetajwa kimoja hapo mkuu mbona
 
Mbona kuna mmoja kaniambia anataka ndoa? Au huyu sio mwanamke ni mtego wakuu?
 
And the most unfortunate thing is that no man on Earth is capable of offering all those things to a woman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…