The other side of Jeetu Patel

Hii story ya Jimmy nimewahi kuisikia kutoka kwa watu fulani waliokuwa gerezani naye mwaka jana katika sakata lao la EPA. Wanasema eti ni mtu 'down to earth" hana makuu, n.k. Lakini behind that false calm and blunt face there is a cunning animal ready to pounce and kill! Kama chui vile.

Anawambia "wana- EPA" wenzake kwamba waswahili ni watu ajabu sana maana walipoanza kuchota pesa EPA mambo yote yakaanza kuwekwa hadharani. Waafirika walipopata pesa wakanunua magari ya kifahari, majumba kila kona, starehe na wanawake kibao. Anasema kabla ya hapo hizi pesa aina ya EPA zilikuwepo lakini zilichukuliwa na wahindi wenye kujua namna ya kuziwekeza na kuziifadhi bila mambwembwe kama waswahili wanavyofanya. Katika ile sura ya upole ya Mzee Jeetu kuna kejeli (contempt) kwa waswahili. He may be right?

La pili ambalo aliwaambia huko Keko ni kwamba yeye kama Jeetu Patel hajawai kwenda ofisi yoyote kuomba kuchotewa hela kama za EPA. Ni viongozi wa serikali ambao umfuata na kumwambia " Mzee Jeetu kuna pesa mahali fulani, fanya hili na hili utuletee ofisini tukupatie hizo pesa". Kwa maana nyingine viongozi wanampatia deal kubwa kubwa kama za EPA maana wanamwamini atatekeleza makubaliano. Eti waswahili hatuaminiki hasa kwa mambo makubwa. This is the other side of Jimmy's Patel!

Ama kweli wajinga ndio waliwawao!
 
I have decide to follow this up and I believe one day I will get the whole truth and will put it open for all to know.

Will be with you again soon

Thanks

Jimmy B

Uzuri uko wapi hapo kwa JP kukuambia kuwa anandugu na aliwahi kuoa na kuacha, au anamtoto. Mambo yote hayo mtu wa aina yeyote anakuwa nao, issue ni kuwa yeye ni fisadi papa, mwambie atoe data za kukanusha sio kuleta porojo hapa
 

Dar;

There is nothing that annoys me than racism especially when it comes to scandals involving Tanzanian with Asian/Arab origin. Lets be fair guys.

Akibagua Mwafika Mweusi sawa ila akibagua (mweupe)mwingine TATIZO.
 

Mkuu Byasel;

Upo sahihi kabisa. Miafrika haiaminiki, angalia Johnson Lukaza alivyosafirisha Vogue kwenye BA.

Yaani kweli kabisa dili lao ilikuwa poa mpaka walipoanza kuwaingiza mapapaa na majambazi na wasioenda shule. Hii Miafrika ikawa inatapanya pesa kila kona. Nyumba zikapanda bei Dar, madada zetu warembo ikawa shida town hapa, sie wenye biashara za maduka huku Mbagala ikawa taabu kweli kweli mjini.

We were nothing to them, ardhi bei juu magari ya kifahari yakaongezeka jijini.

Kweli Julius aka Nyani ngabu aka ...aka... Alisemaga: Miafrika ndivyo tulivyo.

Jeetu YUPO SAHIHI kwenye hilo la miafrika
 
Yote uliyosema yanaweza kuwa kweli lakini the botom line ni kuwa dhambi zake zinazidi uzito wa mema yake.
 
Yote uliyosema yanaweza kuwa kweli lakini the botom line ni kuwa dhambi zake zinazidi uzito wa mema yake.
Ni kweli kabisa. Hata kama deal zinaletwa na watu serikalini angelikuwa mwema angeweza kuwaweka bayana na yote wanayokusidia kufanya ili yeye aendelee kuwa safi.
Siamini kama alikuwa anafuatwa kupewa hizo deal kama anavyosema. Hizo deal wahusika wengi wamezipata kwenye zile "club" za siri siri wanazokutana "wateule" wachache, ambazo kuwa member sio privalage ya kila mtu.
 
'Jeetu Patel' can not, could nor would never be a man down to earth. This guy is a typical arrogant Indian with racial antipathy. Try to apply for any vacance whichever fall vacant (that you find yourself qualified to work in) in one of his business conglomerates - you'll pity yourself! You'll be paid peanut compared to the same Indian pesrson whom has lower qualifications to yours!!

He has a taste great to our 'sisters' may be that could be the reason he's divorced! How can a responsible man fail to hold his family stable?

Ana mengi machafu saana huyu bwana.
 
Naomba muihamishie kwenye uwanja wetu ule wa jokes
 
Dar;

There is nothing that annoys me than racism especially when it comes to scandals involving Tanzanian with Asian/Arab origin. Lets be fair guys.

Akibagua Mwafika Mweusi sawa ila akibagua (mweupe)mwingine TATIZO.


...lakini kuna rascism kwenye kupewa hizi dili, hata yeye Jeetu mwenyewe kasema kuwa walivyoingia waswahili tu, dili likanuka
 

Usitupoteze, talk about Geetu not Mengi. Mengi ndo alimpeleka mahakamani?
 
Dear readers,

For a long time I have been reading a lot about the famous Jeetu Patel and this prompted me to dig deep to know exactly who this guy really is.

Did you mean Infamous?!!!!!
The rest is nonsense.
 
Last edited:
What do you want to tell us about Jeetu? I read the story, it seems you're in the process of cleaning Mr. Jeetu. That is nothing than 10% which you've received in order to cheat people. WaTZ njaa zinatupelekea pabaya
 
Na si hilo tu Mkuu,na hao uliowataja pamoja na wengine wa aina yao wakiingia matatani huwa hawakawii kulalamika kuwa wanaonewa na Dola na kwamba haki zao zinapuuzwa,si mlimsikia yule msaidizi wa Pol Pot wa Cambodia alivyokuwa akilalama mahakamani mwaka jana alipodakwa?
 

Nenda kanywe naye chai.
 
Mkuu Jimmy Bwawani
Ka chini andika kitabu cha Jeetu, utauza sana. Inaelekea unataarifa nyeti
 
Mkuu Jimmy Bwawani
Ka chini andika kitabu cha Jeetu, utauza sana. Inaelekea unataarifa nyeti
Ana taarifa nyeti? Kasema alikutana naye Kisutu mahakamani kisha Upanga kwenye korido. Baada ya hapo kesha mfahamu kuwa ni mtu mwema saaaaana. Ajaribu approch nyingine hii 0%
 
Acheni ushamba au ni wivu? kinachotakiwa ni kuanalyze hiyo info na kuifanyia kazi. huyu kesi iko mahakamani kama ni mwizi tutaelewa hapo. Naona baadhi yetu inakuwa kama chuki fulani kwa waliotuzidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…