The overpass over Mombasa road has started, is this part of the express way project?

Deni ni deni. Why are you Tanzanians always argue like chicken?

Wapi nimekataa deni??

Ukitaka ujue madeni yanatofautiana kutokana na mkopeshaji,angalia namna mnakwenda kuuzwa ndani ya nchi yenu,wakati wewe ukiandika deni ni deni.
 
wapi nimekataa deni??

ukitaka ujue madeni yanatofautiana kutokana na mkopeshaji,angalia namna mnakwenda kuuzwa ndani ya nchi yenu,wakati wewe ukiandika deni ni deni.
Hawawezi kukuelewa kwa ss Subiri waanze kuchinjana 2022, Wakenya kwnz hawapendani hata walio humu pia kila mtu na lake hawana ushirikiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…