The owner of the biggest farm in Africa, Unajua alipo? 😊🌍

Sleeping giant... Wachina wanapiga pesa ya kufuru
 
Kweli mandugu zetu watz are obsessed with us kila masaa ni kututaja taja ovyo ovyo. Oooh Kenya hii ooh Kenya ile kwani huwa hamchoki? Hamna jambo la muhumi mwaeza kufanya na maisha yenu? kweli mwapenda kujichora.

Lakini nitakuwa wa kwanza kukubali ya kwamba nchi yangu iko na changamoto kibao kama tu nchi yenu na zengine mengi. lakini wacha nikuambie ya kwamba hutawahi waskia wakenya wakipayuka payuka ovyo ovyo kama nyinyi kwenye mitandao. wakenya hutambulika kuwa wachapakazi na wata wanao jituma sana.

Na msidhani ya kwamba mkijaribu kutuvuruta nchini nyinyi ndio mtapanda juu.
 
Mkate miti mnatoa wapi hiyo miti ya nguzo za umeme? Tanzania ndio inawahudumia toka kitambo Tanzania inahudumia almost nchi zote za SADC kwenye hii bidhaa.
Hatutumii post kutoka kwa miti kama nguzo za umeme. Ila hapo awali 2017 wakulima wengi sana wa miti ya mbao walikuwa wanafanya biashara hiyo na Kenya Power. Maeneo ya Ml. Kenya na Aberdares ranges pia kuna miti mingi sana. Ila haina presha, mwaka umepita na marufuku ya kukata miti Kenya bado ipo. Acha tuhifadhi misitu yetu, sasa hivi mbao za kujenga zinatoka kwa majirani, Ug, Tz, Ethiopia. Hayo maamuzi ya wizara ya mazingira yalikuwa ya busara sana.
 
Haahhaha hivi huonagi ndugu zako wanavyopayuka humu kila saa au ww ni mgeni humu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leta mtu mmoja Kenya mwenye shamba lake binafsi lote lipo utilised kwa hizo hekari, sio unalialia hapa.
Huyu ndio supplier wa nguzo za umeme Kenya, serikali yenu inamlipa.
Bro, Kenya hutumia zege kutengeneza nguzo za umeme toka kitambo tu na wala sio mbao/miti. hii ni baada ya wakora, wakaidi, watapeli, wengi kutoka maeneo ya Sumbawanga na Tanga walipovizia nchi ya Kenya na kutundika mabango yao usiku usiku. walichohitaji ilikuwa ni msumari tu na nyundo hadi ikawa kero kwa taifa kabla kushtukiziwa.
 
Haahhaha hivi huonagi ndugu zako wanavyopayuka humu kila saa au ww ni mgeni humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mimi ni mgeni hapa jf lakini nimetazama ya kwamba nyinyi ndio mwapenda kurusha mikuki kwanza. Wakenya huwa twacheza defence wakati nyinyi Mwacheza offense.
 
2000 pekee? Unachekesha
My grandFa Ako na 3530acres ya tea Lari,kiambu county.
Hawa majirani zetu wanafanya ukulima wa jembe, sasa wakisikia 2,000 acres wanaona wametisha kweli kweli. Narok County kuna mmaasai wa ukoo wa Purko analima ngano kwenye 5,600 acres. Alafu sio yeye tu, kuna wengine wengi sana kwenye gatuzi hilo moja.
 
2000 acres is a big farm ??? huu ni mzaha sasa.. WanaBongo saa zingine propaganda za CCM zimewapumbaza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23], fuatilia nyuzi ndo utagundua ndugu zako ni watu wa aina gani,
Ndio mimi ni mgeni hapa jf lakini nimetazama ya kwamba nyinyi ndio mwapenda kurusha mikuki kwanza. Wakenya huwa twacheza defence wakati nyinyi Mwacheza offense.
 
Miti pia mwambie ata pale Kakuzi akipenda ipo...
 
Hawa majirani zetu wanafanya ukulima wa jembe, sasa wakisikia 2,000 acres wanaona wametisha kweli kweli. Narok County kuna mmaasai wa ukoo wa Purko analima ngano kwenye 5,600 acres. Alafu sio yeye tu, kuna wengine wengi sana kwenye gatuzi hilo moja.
Yeah Especially upper Melili ridge na Tipis(narok north) na narok south(nkareta na Olmekenyu)....wajukuuu wa familia ya Koriata na ole ntutu wanalima thousands of acres za barley na wheat,
Alafu mjinga hapa anataja eti mitii
 
Nimeshangaa sana .....mti pia ni infrastructure??
 

Nasikia huko kwenu kuna Yesu feki na watu wanapiga pesa kupitia yeye, Kenya kwa ujanja ujanja mpo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…