Nahis wengi hatujaelewa hili bandiko, hiyo picha inamaanisha kitu tofauti, yani huyo mwanamke na mtoto vinaashiria maisha ya sasa (present).. baba yake anaashiria maisha yaliopita (past) na kijana mwenyewe ni maisha yajayo (future)... hapa tunaoneshwa kwamba mtu inatakiwa ushikilie maisha ya sasa ambayo ndo mke na mtoto (present) ili uendelee for your bright future na sio ambavo wengi wetu tunaishi kama zamani (past)..mfano mtu una miaka 30 lakini una behave kama kijana wa miaka 15 anaebalehe unaendekeza kipururu, makundi na akili za ujana!
Ndo nilivoelewa wala sio maswala ya kumuokoa baba alaf afate mke 🙌