The Poorest Countries in the World

Tanzania GNI per capita ni $1080 (2020) kutoka $1020 (2019), mbona kwenye orodha yako hapo haipo? Acha ushabiki wa kijinga.
 
Hapo hawajaongea mambo ya CCM, kule juu umetoa mchanganuo mzuri, tujifunze kutoweka ushabiki wa kisiasa tufike mahali kama vijana wa nchi hii tutafsiri mambo bila ushabiki ushabiki sijui CHADEMA ama CCM, hii inaharibu mambo sana.
 
Sijaweka ushabiki isipokuwa kufafanua mwenendo wa uchumi wa Tanzania kwa jinsi ya Ilani ya vyama vya siasa. Nimezingatia vigezo vilivyobainishwa vya kukuza uchumi.
 
Hii ni nchi masikini kweli kweli. Na umasikini mkubwa unazidi kusababishwa na CHAMA CHA MAPINDUZI.

CCM inanunua hadi wapinzani na kurudia chaguzi kwa madai ya kuunga Juhudi. Hii haipo dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…