The power of AI, sasa unaweza kuwa unapata ngoma mpya kabisa za wasanii wako waliokwishakufa

AI nimeishushia mikono, Hakuna kitu haijibu, haijalishi kina reference Google au laaa., umeuliza kitu umejibiwa hujaelewa, unaiambia sijaelewa, ina generate simplified information zaidi.
Nina apps za Ai 5,
 
Hatari na nusu ,nilisikiliza AI ya Pac ni noma.

Watupe Song la Prodigy.
 
AI nimeishushia mikono, Hakuna kitu haijibu, haijalishi kina reference Google au laaa., umeuliza kitu umejibiwa hujaelewa, unaiambia sijaelewa, ina generate simplified information zaidi.
Nina apps za Ai 5,
Kaka bila kujali shusha hizo Nondo za Izo Apps...na Sisi tuishi humo
 
Back
Top Bottom