AI nimeishushia mikono, Hakuna kitu haijibu, haijalishi kina reference Google au laaa., umeuliza kitu umejibiwa hujaelewa, unaiambia sijaelewa, ina generate simplified information zaidi.
Nina apps za Ai 5,