The Power of Forever Living

Tayseer

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
232
Reaction score
54
Forever Living Products was founded in 1978 on little more than dreams and hard work. It was designed to help anyone who wanted a better future to attain it on their own.


  • Better health.
  • More wealth.
  • A secure future.


Starting your very own home-based business is easy. Forever Living Products ensures your success every step of the way. If you don’t personally know a sponsor, we’ll match you up with someone in your area to mentor you. There’s no membership fee or expensive investment. You’ll get instant access to our absolutely amazing products at their discounted prices. When it comes to training materials, a success plan, and your commissions, we provide all of that. All you need to provide is a commitment to your future and your enthusiasm. You can’t lose!

For more Information Call:

+255 717 006 742
+255 754 440 690
 
Hee - hamchoki tuu kupigia debe haya mapyramid scheme?
 
Hee - hamchoki tuu kupigia debe haya mapyramid scheme?

Hii sio pyramid scheme ni MLM Multi Level Marketing.., Pyramid Scheme inategemea membership fees au michango ya pesa ya watu wapya au walewale kuendelea kutoa pesa ili wengine kunufaika.., ila kwenye hii MLM kuna products inazobidi mtu uziuze ili upate commissions na wale unaowasajili wewe (downlines wako) wakiuza unapata commission.
 
KeyserSoze safi ndugu kwa maelezo mazuri, uliyo mpa huyo ndugu yetu na kumtofautishia kati MLM pamoja na Pyramid Schem.

Pili shida ya watu wengi ni kuamini kuwa mafanikio ya kibiashara huwa yanapatikana kirahisi tu, so ndio maana watu wengi sana wanashindwa biashara.

Pasco asante na fahamu wewe ni mmoja wadau wa mambo ya afya kwa hiyo unafahamu fika jinsi gani product hizi zina umuhimu kwenye maisha yetu ya kila siku, kuanzia kwa watoto wetu hadi wazee wetu.
 
Tuko pamoja sana,tena ni vizuri uwe unatupia elimu y akutosha hapa jukwaani ili wengi waelimike.
 

Mmh! Basi iyo blog inamafuo mengi sana. Na aliyotoa siri iyo alikuwa anafanya kazi za kishetani toka akiwa mtoto siku moja kashikwa na malaika wa bwana katika vita akaokoka na sasa ni mwinjilisti.

Na ameonyesha makosa wanayofanya watu ktk kusali. Na vitu vinavyotokea ktk ulimwengu wa roho.na ww mwenyewe ukisoma ni kweli kbsa na makosa mengi unayofanya. Na mafunuo mengi sana sana.

Ukisoma iyo blog na izo shuhuda hutakuwa kama mwanzo lazima utakuwa kiroho na utakuwa na upeo mwingine. Kuna zaidi ya mafunuo 8 nimeyapata yooote yalikuwa yananihusu mm.

Na imetokea kupata majibu haya ktk majaribu makubwa. Ivo naaamini kbsa inatoka kwa Mungu mojakwamoja.

Je unajua malaika wa shetani wa nuru anavyofanya kazi? Je unajua kila mkristo kapewa malaika wa kumlinda. Lakini ukipoa naye hana nguvu za kukushindia?

Je unajua majibu ya mungu huletwa na malaika wako. Lakini kama umepoa mapepo wanamvamia na kumnyanganya jibu lako?
Na ayo majibu ndiyo shetani anawapa watu wanapoenda kwa waganga au wachawi kutafuta utajiri? Au kufanikiwa? Unajua shetani hawezi kutoa ivo vitu uwa anaiba kwa malaika wa watu ambao wanaomba na kuacha au kukata tamaa.

Jee unajua unapofanya dhambi ,kafara au yoyote ile ndipo unawatengenezea mapepo na majini nguvu?

Mapepo yanafanya kazi katika angani unajua wanalishwa na dhambi unazozifanya ziwe za aina yoyote ile unajua ilo? Aisee pitia iyo blog mm nilipopata mafunuo hayo nilianza na kutetemeka?

Je unajua ufanye nn pale unapokuwa forced kufanya dhambi hata kama hutaki?

Je unajua watu makosa watu wanayofanya wanapokutwa ktk hali hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…