Huyu mjukuu wako asisingizie nyagi wala nini! Tulishakubaliana mi nakata viboko walau mizigo miwili lumbesa, napakaa pilipili afu AshaDii na Nyamayao ndo wanamcharaza manake mie ntamuua!
Babu DC nakusalimuTaratibu King'asti,
Ukienda moto chini namna hiyo utaua watoto/wajukuu
Babu DC!!
Mjukuu anaomba ruhusa kulia kwenye sefuria ama chungu kabisaa!
Babu DC nakusalimu
Hahaha Asprin anahusika sanaHahahahahahahahah
Mzima wewe The Finest?
Umeshamalizana na kesi ya kuwasababishia wenzio challenges?
Babu DC!!
Aisee.... kweli out of sight, out of mind!!
mate... hapa nimechoka kabisa..... ngoja tuangalie hawa akina NGUYEN kama wana lolote la ku-offer.....:rant:Umeona eh?
Ipi? :thinking::thinking::thinking:
Babu DC!!
mate... hapa nimechoka kabisa..... ngoja tuangalie hawa akina NGUYEN kama wana lolote la ku-offer.....:rant:
Kwanza unapo mpa mtu first chance lazima uweke wazi kua he has only one chance. Na pale anapo kosea take all the time you need before you take any decision. Then ikitokea mnaachana kaa nae mbali, usimpe hata nafasi ya kufikiria there could be a second chance.
When you give some people a second chance it is like giving them a second bullet...
Wapendwa nawaamkua.
Nimekaa hapa mwenyewe na konyagi zangu kichwani nikajikuta najiuliza what is the power of second chances?...........Umemkuta au gundua mwenzi wako anacheat na akakiri but akabembeleza na kuomba msahau yalopita muanze upya........unaamua kumpa nafasi nyingine ya kuprove trust yake....................
Najiuliza inawezakana kweli? Maana kwa mtazamo wangu finyu wa mawazo, mwenye mapenzi ya kweli ana uwezo wa kuresist kukuumiza (anaweza akacheat kukidhi mahitaji ya tamaa zake but atamake sure kuwa hapitilizi na wala hakuumizi yaani atakuprotect) sasa akiamua kuiacha na kuipa nguvu nyumba ndogo kiasi cha yenyewe kukutambia hadharani hadi akakugusa mkono kipofu wewe kuwa bwana eh...bwana/bibi ulonaye sote twala kwa zamu ..............je kweli second chances zinalipa??
Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahah aha
Karibuni waungwana

Kuna mtu JF nataka kumpa second chance...................hahahaha
Karibuni waungwana
Saa zingine inawezekana isiwe second chance bali fourth au fifth
Kwanza unapo mpa mtu first chance lazima uweke wazi kua he has only one chance. Na pale anapo kosea take all the time you need before you take any decision. Then ikitokea mnaachana kaa nae mbali, usimpe hata nafasi ya kufikiria there could be a second chance.
When you give some people a second chance it is like giving them a second bullet...
Aisee.... kweli out of sight, out of mind!!
MwanajamiiOne, mpaka umempa nafasi ya kupangisha mawazoni mwako, ujue ana deserve a 2nd chance.
Am 100% behind you. Go for it....it is for ur happiness π