Mchezo unao boa sana pale unapo kua hauja uzoea,
lakini ni mzuri sana kwa mazoezi ya ubongo/akili yako!
Uta kusaidia kuongeza kiwango chako cha reasoning,
memory capacity (kutunza kumbu kumbu).
nk,
good for you,good for your child sio play station
Katika kila hizo square za ndani, jaza namba 1 hadi 9 bila kujirudia, lakini pia hiyo namba 1 hadi 9 isiwe imejirudia katika row/colum ya box zima. duu ngumu kuelezea..
yaani kwa maana nyingine kila kibox cha ndani kiwe kina namba 1 hadi tisa, na kila row/colum ya table nzima iwe na namba 1 hadi 9