Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Najua na naelewa Ila huyo polepole ndo alitumika kuzuia katiba ya wariobaUmezaliwa lini polepole wa 2013-2015 Ni alikuwa Moto kuliko huyu wa leo
Fatilia akiwaonya CCM kuusu ufisadi na kuhusu fisadi Lowassa
Fatilia marumbano ya hoja ITV miaka hiyo
Sasa mbona alikubali kuwa katibu mwenezi na kutamba na mavieitii?🤣…Fatilia akiwaonya CCM kuusu ufisadi na kuhusu fisadi Lowassa…
Njaa huwa haikai pomoja na akili