super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
Jamaa yangu ana gf wake wanadai wanapendana, jamaa kinamuumiza hawezi kumwachia simu yake even for a minute,anadai eti kuna vitu ni private hawezi mwachia mtu.......jamaa kiujanja ashadakaga facebook account ya huyo gf wake just out of curiosity, there was nothing suspicious,na akazidi kumwamini, demu alipojua hakufurahia. Kuvunja privacy jamaa anamwachia demu wake simu ajinafasi nayo ila demu anadengua akijua lengo la jamaa.........IS IT WISE,AU PRIVACY SHOULD BE RESPECTED INTO RELATIONSHIPS??!!?????!!!
mimi najiuliza hiyo line ya privacy ikoje
ku demand password ya facebook na email za mpenzi wako ni
right au ndo mbaya kwani waweza kuonesha your insecurities zako
na je what if awe na facebook id ya siri?email za siri?
That's why I said it's complicated. Manake kweli kabisa mtu anaweza akawa na accounts kadhaa za Facebook. Kuna mdada namjua ana account 4 huko Facebook. Email ndo usipime kabisa...nadhani anazo zote kuanzia Gmail hadi Ymail. So huyu anaweza akakupa access ya mbili au tatu kati ya zote alizonazo na wewe ukaingia mkenge kuwa yuko muwazi kumbe unapingwa changa la macho tu.
It's very complicated.
au mtu jf anapewa password ya Bwan'chuchu...lol
si unamhurumia? lol
Name calling, utapigwa ban. I am on fire today. :flame:au mtu jf anapewa password ya Bwan'chuchu...lol
si unamhurumia? lol
hiyo privacy inaapply kwenye simu tu na fb? Kwenye kuvuliana kiguo cha mwisho na kujigyjigy hakuna privacy??????
hiyo privacy inaapply kwenye simu tu na fb? Kwenye kuvuliana kiguo cha mwisho na kujigyjigy hakuna privacy??????
Privacy gani?
Upuuzi mtupu
Mi mtu akitaka kuwa na mimi sharti no moja anipe simu yakesiku mbili
Hutaki chapa lapa
Sidanganyiki tena
Privacy wewe ni fbi
Kwenda huko
mimi sio mcharuko kaka tuheshimianeHuyo ndo Smile Mcharuko bana.
muonga,tapeli ibilisi kabisa.mtu msiri kwa mwenzi wake daima naamini ni muongo
mimi sio mcharuko kaka tuheshimiane
nasmile sana tu hadi usingizini.ndo maana napewa zawadi dailySmile..