super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
- Thread starter
-
- #61
Sioni uingiliano wa sheria na mapenzi,sawa sheria yaweza ingilia ndoa lakini si mapenzi ya wawili........laws on actions but not feelings!!Hiyo ni sheria yao au ni sheria ya nchi?
Eti mtu anafikia hadi hatua ya kwenda bafuni kuoga nasimu,eti ni personal mattersHakuna privacy ya kuzuwiana simu kwa wanandoa.
Having said that, sio tena mwanamme atake kusoma msgs zangu zote japo zinazotoka kwa dada au kaka zangu.
Mimi na yeye hatuna privacy lakini dada yangu na yeye wana mipaka na privacy kwa hiyo aelewe hilo
Eti mtu anafikia hadi hatua ya kwenda bafuni kuoga nasimu,eti ni personal matters
Hii inakubalika kweli gee?