Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Siku hizi hamna hata anaye mcontrol mwenzake, nyumba kama kidimbwi cha kambale wote ndevu ni mwendo wa talaka/kuachana,sio wakristo wala waislam.Wanaume mnajua kuwaendekeza wake zenu ndo maana wanawake wameweza kucontrol mind zenu
Sheria zinabana mkuu. Utafanya nini wakati umefungwa mikono. Ukifanya kosa kwenye kuchagua tu kimekulambaWanaume nao wamekuwa dhaifu usisahau hilo
Kwaiyo kosa sio la mwanamke kukosa maturity, ila kosa ni la mwanaume ambaye ni victim wa bad character ya mwanamke?Wanaume mnajua kuwaendekeza wake zenu ndo maana wanawake wameweza kucontrol mind zenu
Ulaya huko wanaume wako na hali mbaya sana, wamegoma kuoa na wamehamisha mambo yao kwenye pombe, sigara, ni tabia zingime hatariNa hii ndiyo inafanya kataa ndoa wanajichotea ushindi kila siku.
Wanawake wa sasa watapenda Morden Marriage ila wanataka waume zao wawape Traditional Treatments, yani zile za Ki Gentlemen.
Wakati wao hawataki kuishi maisha descent wanayotaka wao wapewe.
View attachment 3533254
Hii ni kweliNdoa ni mtindo wa maisha ambao umepitwa na wakati. Misingi yake iliwekwa kipindi cha patriarchy ambapo mwanamke alikua inferior kwenye kila kitu.
Sasa hivi tupo kwenye nyakati ambazo mwanamke kapewa access ya elimu, ajira, kumiliki mali, promiscuous n.k. Haiwezekani tukatumia sheria zile zile za ndoa bila kuleta mvulugano.