Maulid njema wapendwa ndg zangu Waislam. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkuu. Ila tunamchosha Kwa kutokuchungulia fursa alizotupatia.
The Ramadhan Brothers wamefanikiwa kuchukua nafasi ya 5. Ni shindano gumu lenye kuleta vipaji mbalimbali kwenye jukwaa moja duniani.
Isijurudie tena
1. Wamesafiri Kwa gharama zao
2. Wamepambana Kwa gharama zao.
3. Hakuna ubalozi wala wizara iliyoonyesha ushiriki hata support (tuelezane ukweli, tusichukiane)
4. Taifa kupitia wizara ya michezo, utamaduni NK.kuna mahala mmezingua)
5. Jumuiya ya watanzania wanaoishi marekani idadi ni kubwa mna mbwembwe nyingi hamjaonyesha kitu.
6. Tujifunze kutoka Nigeria,hii nayo ilikuwa endorsed na waingereza kupenda vya nyumbani na kuvisupport(Patriotism)
7. Tufunike kombe mwanaharamu apite.
Tusirudie tena. Tunavyopenda majungu na kuzuliana hoja zisizo na mashiko tungewekeza kupenda vya nyumbani na kuviweka kwenye ramani tungefika mbali.
Mytake:Hakuna platform ya kuweza kuitangaza Tanzania kama kupitia Sanaa na michezo duniani.
Kaka Dkt. Ndumbaro/MH Kaka yangu Mwinjuma..Muje na basi na Jambo...