Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Hahahahahahaha, mna hali mbaya sana, mumaanza kuiliwaza kwa kuchora barabara na kuhisi na ninyi mna BRT baada ya kuona hamuwezi kupata BRT kama Tanzania, mlipoon hamuwezikupambana katika utalii mnajaribu kujiliwaza kwa kuanzisha ubishi wa Kibera.hapo umewashika kwenye makei vizuri....ila mi nilkua na habari tangu mwanzo...Kenya ina benefit zaidi kwa utalii kuliko nchi yoyote ukanda huu...ukizingatia airline, bed nights, na tourism hub status hio figure ina panda sana...
Pitia hapa pimbiππHumu hakuna aliyekuja kumshabikia yeyote, sote tunajadili na kukokotoa takwimu baina ya nchi zetu, labda nyie ndio huwa mpo pembeni kushabikia, tatizo mnayemshabikia naye hajui kabisa anachokipost, anajaza mapicha na kurudia rudia huku akifoka mabomu mabomu hadi anatia huruma.
NairobiWalker amewapa source https://www.wttc.org/-/media/files/reports/economic-impact-research/countries-2017/kenya2017.pdf
Nenda humo ndano uone kinachozungumziwa
- $$ Direct contribution to GDP
- $$ Total contribution to GDP
- % Share contribution to GDP
Mjifunze kutumia ubongo, sio kukurupuka bila wa uelewa wa nini kinajadiliwa.
Acha kulia sana. Huijui JF na sheria zake. Bomu limesha walipukiaππ Huitaji miwani ya mbao kusoma na kuelewa.ππWewe unajua utachezea ban nyingine kwa ku-spam JF na haya mapicha unarudia rudia bila kuelewa nini unacho post.
Mwenzako amepost dollar value contribution to GDP ambayo ukienda kwenye hiyo document utaona tumewazidi, wewe umeng'ang'ania percentage contribution ambayo obvious yenu lazima iwe kubwa maana GDP yenu ni ndogo.
Natumai Mod Silencer watakuja wakukute na haya mapicha unarudia rudia na kujaza kwenye server za watu, elimu yako bado sana.