The Real East Africa's Tourism King: Lies Unraveled

Boss....Mimi nakupa data right from KTB na TTB wee unaniletea articles za majournalist uchwara. Hivi huoni reporter anaquote government revenue for Kenya and contribution to GDP for Tanzania? Nyinyi watu mmeenda shule kweli?
Sijawahi ona watanzania wakilia namna hii. Leo nimecheka yangu yote. Leo wamelia sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Leta chanzo chako ndani ya wavuti wa KTB na utaje ukurasa husika, acha blah blah.
Hivi umesoma post hapo juu ama unataka kuleta kiherehere kama huyu Mr. Maharishi hapo juu? Hivi huwezi ona hapo Kwa original post nimeweka link? Fungua hizo link, download the document and use the search function on your computer. Acha uvivu na ujinga.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Kakojoe ukalale, hauna hoja yoyote hapa.
 
Hizi link zote ulizo weka hazina source ya hiyo chat uliyowekaπŸ˜€πŸ˜€ Tupatie link wewe debe tupuπŸ˜€πŸ˜€
 
Hii chat imefika aje kurasa la nane in seven hours?
 
Mnafiki mwingine huyu hapaπŸ˜€πŸ˜€ Mwenzako kashindwa kutoa link ya data zake kwenye threadπŸ˜€πŸ˜€ Usimuache pekeyake na bomu lake. Njoo umusaidie.

Hehehe hata wewe Mr. Twitter source unaomba upewe source ili uonekane hata nawe umo umo.
Sasa hapo amewapa link kabisa ya TTB.
Oh labda hamjui TTB ni nini, nakufafanulia
T - Tanzania
T - Tourist
B - Board
Yaani ndio mamlaka maalum yenye data za kuaminika kwenye suala la utalii Tanzania, sio zile Twitter zako, sio magazeti ila mamlaka husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…