For a very long time, people on this forum have peddled the lie that Tanzania earns more from tourism than Kenya. What's been
Siku nyingine mkiwa mnaleta source wewe mzee wa copy and paste na huyo mzee waku kulupuka msiwe mnaokota kinacho wafurahisha nakuweka humuπ Pitia hiyo vizuri nimewashika makendeππ Msitufanye mafala kama nyieππ Inaitwa kamata mwiziππHehehe hata wewe Mr. Twitter source unaomba upewe source ili uonekane hata nawe umo umo.
Sasa hapo amewapa link kabisa ya TTB.
Oh labda hamjui TTB ni nini, nakufafanulia
T - Tanzania
T - Tourist
B - Board
Yaani ndio mamlaka maalum yenye data za kuaminika kwenye suala la utalii Tanzania, sio zile Twitter zako, sio magazeti ila mamlaka husika.