The regime that does not care of its citizens

TXGA

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
244
Reaction score
325
BBC has just notified the World that unknown number of Tanzanian are stranded in Ukraine as the result of on going with Russian unfortunately no any statement made by the Government on how to evacuate and bring them back . As far as i know life a single person matters a lot .
 
Ubalozi ushawapa taarifa ya nini wafanye, kuna uzi hapa JF una nakala ya tamko la ubalozi...

Pia hali kwa raia bado haijawa ya hatari kihivyo, watu wenye kuweza kutoka ndani ya Ukraine wameonekana wakifanya hivyo kwa kwenda mataifa jirani...

Tulitakiwa kuwa proactive kwakuwa sasa hivi tayari wako kwenye crisis, but we can still evacuate them if the Government is willing to do so in a good faith .
 
Wabongo mnapiga kelele serikali ikikataa kutoa passport za kusafiri kiholela, moja ya sababu ndiyo hii. Mkipata matatizo huko mnaipigia kelele serikali iwasaidie wakati uwezo haina. Shida tupu.
 
Hivi chuklia mwanao kaenda kusoma huko kwa manuafaa yake na kwa Taifa lake pia, sasa mazingira kama haya yamejutokeza kwanini serikali isiwe na mpange waku safe guard raia wake?????????Mbona India juzi wametuma ndege zao kadhaa kuwa evacuate raia wake ??? hapa kwetu kuna nini??? tunakosa uzalendo au hatujali maisha ya watoto wetu???/
 
BBC has just notified the World that unknown number of Tanzanian are stranded in Ukraine as the result of on going with Russian unfortunately no any statement made by the Government on how to evacuate and bring them back . As far as i know life a single person matters a lot .

Mungu awanusuru
 
Wabongo mnapiga kelele serikali ikikataa kutoa passport za kusafiri kiholela, moja ya sababu ndiyo hii. Mkipata matatizo huko mnaipigia kelele serikali iwasaidie wakati uwezo haina. Shida tupu.
Hapa wanaozungumziwa sana sana ni wanafunzi wanaosoma huko.Kwani ni rahisi kwa serikali kujua hata idadi yao, lakini wewe umeenda kivyako tu, utegemee serikali hizi utakuwa umechemka!!
 
Hivi chuklia mwanao kaenda kusoma huko kwa manuafaa yake na kwa Taifa lake pia, sasa mazingira kama haya yamejutokeza kwanini serikali isiwe na mpange waku safe guard raia wake?????????Mbona India juzi wametuma ndege zao kadhaa kuwa evacuate raia wake ??? hapa kwetu kuna nini??? tunakosa uzalendo au hatujali maisha ya watoto wetu???/
Mi inchi ya Kiafrika haya!!??yana uzalendo na raia wao?!!tena kidogo KENYA , huwa wanajitahidi , mfano mwaka juzi kulipotokea COVID 19!!nchi nyingine zinarudisha raia wake kwao, jiwe aliwaambia WATZ, warudi kama walivyokwenda!!!
Halafu unakuja kuwahadaa watu kuwa watakuwa wazalendo kwa kuvaa minguo yenye bendera!!pata matatizo ya kawaida tu ukiwa nchi za nje , tena hapa jirani tu, uone mfano nenda kwenye magereza ya zambia ukaone watz wanavyoteseka huko, kwa kesi za kusingiziwa!!!
 
Wabongo mnapiga kelele serikali ikikataa kutoa passport za kusafiri kiholela, moja ya sababu ndiyo hii. Mkipata matatizo huko mnaipigia kelele serikali iwasaidie wakati uwezo haina. Shida tupu.
Kama viongozi wana mtazamo kama wa kwako, basi ndio maana tuko doomed
 
Back
Top Bottom