VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Hapana mkuu mpende mtu jinsi alivyo na mabaya yake yote hata kama ni mvivu, muongu, mmbeya wewe mpende tu na hayo yote..., Mapenzi ni package.., wewe usipende mazuri yake tu na kusahau mabaya..., ukibeba beba yote na uvumilie mabayaMwisho wa siku,mpende akupendae asiekupenda achana nae.
OTIS.
Na ukichukua chukua vyote..., mabaya na mazuri na vumilia mabaya..., na kinachofaa kwenye uhusiano wangu sio lazima kifae kwa mwingine.., maisha ya watu ni tofauti na wanapenda kufanya na kufanyiwa vitu tofautikwa hiyo ni sawa na kusema ukitaka chukua,hutaki nenda?
….. There are No Golden Rules……
Kinachofaa kwa Hamisa.., hakifai kwa Mwajuma… (one size does not fit all....)
Hata ule msemo wa "do onto others as you would have them do onto you" nadhani haufai…, the only recipe nadhani ni kufanyia wengine yale ambayo wenyewe wanataka kufanyiwa…
Si busara kumbadilisha mtu kama wewe unavyotaka…, Kama kubadilika ni rahisi kwanini wewe usibadilike kuendana na yeye alivyo ?
Uvumilivu: Mvumilie kama alivyo…, "Ukipenda ua Rose Penda na Miba yake…"
Appreciate : Instead of complaining the rose bush is full of thorns, be happy the thorn bush has roses
Mhhh VOR asante sana kwa haya
Ila je nani yuko tayari kufanya hayo
watu wapo kulalamika tuu na kurushiana maneno bila hata kujali kama hicho alichokifanya it was by mistake au vipi
Ni wachache wanasema hayo na kukubali kuyatenda
Kweli mkuu wengi wetu huwa tunajua cha kufanya ni nini lakini ugumu ni kwenye kufanya....,
Easier Said than Done.....
.. There are No Golden Rules
Kinachofaa kwa Hamisa.., hakifai kwa Mwajuma (one size does not fit all....)
Hata ule msemo wa do onto others as you would have them do onto you nadhani haufai , the only recipe nadhani ni kufanyia wengine yale ambayo wenyewe wanataka kufanyiwa
Si busara kumbadilisha mtu kama wewe unavyotaka , Kama kubadilika ni rahisi kwanini wewe usibadilike kuendana na yeye alivyo ?
Uvumilivu: Mvumilie kama alivyo , Ukipenda ua Rose Penda na Miba yake
Appreciate : Instead of complaining the rose bush is full of thorns, be happy the thorn bush has roses
mimi. hakuna cha ajabu hapo bali ukweli mtupuMhhh VOR asante sana kwa haya
Ila je nani yuko tayari kufanya hayo
watu wapo kulalamika tuu na kurushiana maneno bila hata kujali kama hicho alichokifanya it was by mistake au vipi
Ni wachache wanasema hayo na kukubali kuyatenda
matusi haya jamani! eti voiceof reasonbado unajadili upatikanaji wa maji na sukari pamoja na kukosa umeme kuwa janga la Taifa ilihali Nchi imejitawala kwa Miaka 50? hahahaha.Umepevuka sasa.
hakuna mapenzi ya uvumilivu
at the time unaumia
hapa ni full love ukihisi unaonewa sema
nikihisi naonewa nasema
kama mtu akishidwa kubadilika at the time frame basi
divorce na ifuate mkondo wake
maaana watu wegi wanadanganywa na kauli uvumilivu
wengi wanakufa sababu ni uvumilivu kama angelichukua hatua
may be angelikuwa salama....
Mimi naamini ipo misingi na kuna vitu vya ziada. Misingi kwa sehemu kubwa ni almost universal...kwa sababu ukitizama mahusiano mengi yenye matatizo unaweza kuona kuna baadhi ya vitu kadhaa vinajurudia tena na tena kama chanzo/sehemu ya matatizo hayo. Hata hapa JF ukijaribu kutizama visa na mikasa ya kimahusiano inayoletwa na members, kwa sehemu kubwa utaona kuna vitu vinajirudia rudia.
Kwahiyo mkuu unaniambia kwamba kuna a "A Ready Made Solution for All Problems.." ; au ni uvumilivu, kuheshimiana na kupendana ndio silaha pekee....
Na je ni kweli hakuna familia zenye matatizo au ni kwamba kila relation ina matatizo ila watu wanayavumilia.....? Na je formula itakayoweka sawa matatizo ya familia ya A itafanya kazi kwenye familia ya B...?, mfano Honesty is the best Policy..., je ni kweli kwa kila couples au ni tofauti katika couple na couple kulingana na utofauti wao wa wivu...!
No hakuna suluhisho moja kwa kila tatizo hata kama linafanana kutoka couple moja kwenda nyingine. Ninachojaribu kusema, kama msingi mmojawapo ni 'kuheshimiana' (au kupenda etc) hii ina apply kwa realationship nyingi (almost universal)....kunaweza kuwa na tofauti za hapa na pale katika implementation kutoka couple moja kwenda nyingine lakini zote zina msingi mmoja.
Jaribu kutizima couple kadhaa ambazo zina matatizo, most likely utakuta chanzo ni kukosekana kwa heshima (au misingi mingine) ingawa hilo linaweza kuji manifest kwa namna tofauti tofauti. So unafanya (solution) nini ili heshima irudi/iwepo obvious itakuwa tofauti kutoka couple moja kwenda nyingine.
<br /><font size="3"><span style="font-family: franklin gothic medium">Mwisho wa siku,mpende akupendae asiekupenda achana nae.<br />
OTIS.</span></font>