The Relationship Golden Rule (Sheria za Mahusiano..)

kuna mambo mengine hayavumiliki na unaona kabisa njemba haina dalili ya kubadilika. Bora ukimbie kwakweli.
 
Si ndo maana ule msemo wa ukiniona wa nini, wengine wanasema watanipata lini, kila spana na screw yake, kila kiatu na mguu wake
na kila kinu na mchi wake...... uzuri thread imejieleza VoR sina cha ziada
 
Hapana mkuu mpende mtu jinsi alivyo na mabaya yake yote hata kama ni mvivu, muongu, mmbeya wewe mpende tu na hayo yote..., Mapenzi ni package.., wewe usipende mazuri yake tu na kusahau mabaya..., ukibeba beba yote na uvumilie mabaya
<br />
<br /
Hata akiwa kicheche na maradhi haya umpende tu na kumvumilia? Ngumu kumeza.
 
Ishi kwa namna upendayo hivyo mpenzi wako lazima muendane kwa mambo yote muhimu so huna haja ya kubadilika
 
Now i know y naoa na kuacha mara 4 kila mwaka!........kuchagua chagua hakujanisaidia na hata nikipata,naonaga makosa tu....
 
Si ndo maana ule msemo wa ukiniona wa nini, wengine wanasema watanipata lini, kila spana na screw yake, kila kiatu na mguu wake
na kila kinu na mchi wake...... uzuri thread imejieleza VoR sina cha ziada
Swadaktaaa shantel. Naongezea, Kila shetani na mbuyu wake,
 
Kama kweli vileeeeeeeee! Ila mhhh, hata ukiibiwa nawe ukijua inabidi uvumilie tu. Nahisi inaweza kupelekea ubushoke vile, au we unaonaje. Nadhani ndo maana kuna sheria na Amri za Mungu ili kudhibiti haya mambo badala ya kuyaacha yaende kama ndege ilio kwenye 'autopilot'.

napitapita tu!
 
Si ndo maana ule msemo wa ukiniona wa nini, wengine wanasema watanipata lini, kila spana na screw yake, kila kiatu na mguu wake
na kila kinu na mchi wake...... uzuri thread imejieleza VoR sina cha ziada

Mhhhhhhhh! hapo kwenye red unamaanisha nini Shantel? Kwa ufahamu wangu kinu hakichagui mchi, ndo maana nahisi huenda ulikuwa unamaanisha kitu kingine, hebu niweke wazi maana nahisi kizunguzungu?
 
hii ya mpende alupendae asiyekupenda achana nae ukiiendekeza utakuta umetembea na mijitu mingi sana...sometimes watu wanaachana sio kwa sababu hawapendani na wakati mwingine kupendana peke yake hakutoshi kuwafanya mdumu kwenye mahusiano...lazima kila mtu amkubali mwenzake na awe na nia ya dhati ya kudumisha uhusiano kwa kupambana na changamoto zozote zitakazokua zinajitokeza mbeleni...otherwise kila mtu ana mapungufu yake and you will never find perfect one...ila bora umpate mwenye mapungufu mengine lakini sio kicheche coz huyo lazima alete kiama (ngwengwe) mjengoni
 
Tatizo anaweza akawa anakupenda wewe ukaachana nae kwa sababu umeshindwa kujua kuwa anakupenda. Si watu wote wana uwezo wa kuonyesha love the way their partners would understand that this is love. Kwa hiyo kuna misjudgment wakati mwingine. Anayekudanganya ukajua anakupenda, anayekupenda ukajua hakupendi.
Mwisho wa siku,mpende akupendae asiekupenda achana nae.
OTIS.
 
<br />
<br /
Hata akiwa kicheche na maradhi haya umpende tu na kumvumilia? Ngumu kumeza.

kuna mambo mengine hayavumiliki na unaona kabisa njemba haina dalili ya kubadilika. Bora ukimbie kwakweli.

Kuna makosa na makosa.., kuna mtu anafanya yale makosa ya kibinadamu au mambo ambayo amezoea kuyafanya hapo unaweza kuvumilia na kuzoea kuyafumbia macho kuliko kulalamika ambako kutaleta ugomvi..

Hayo mengine mtu anaweza akakufanyia ukajua kwamba sasa amekuchoka sababu akufukuzae hakwambii toka....
 
Kweli kabisa watu wapo tofauti na reaction zao ni tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…