The return of super mjumbe.

mpakato

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
16
Reaction score
0
HODIIIIIIIIIII Wanajamvi, nimekuja na ID TOFAUTI ingawa hapa ni mwenyeji kama matatizo na serikali ya CCM.IMENIBIDI kukaa nje ya JAMVI hili kwa ID yangu mpaka pale ntakaporekebishiwa na admn.:amen:
 
Mkuu, ukipigwa ban ni adhabu na unatakiwa kuitumikia kwakuwa hukufuata vigezo na masharti ya humu. Kuanzisha ID nyingine ni kinyume cha taratibu!
 
MJUMBE SIJAPIGWA BAN ni masuala madogo madogo tu...........so nikaona kukaa nje bila kufaidi hili jamvi ni sawa na kutembea uchi.:yo::yo::lalala:
 
Karibu mpakato angalia sana usije ukapakatwa.
 
Last edited by a moderator:
HODIIIIIIIIIII Wanajamvi, nimekuja na ID TOFAUTI ingawa hapa ni mwenyeji kama matatizo na serikali ya CCM.IMENIBIDI kukaa nje ya JAMVI hili kwa ID yangu mpaka pale ntakaporekebishiwa na admn.:amen:
ID yako ya mwanzo imekuwaje? Karibu sana.
 
Sijui sheria za jf zinasemaje kuhusu multiple Id!!
HODIIIIIIIIIII Wanajamvi, nimekuja na ID TOFAUTI ingawa hapa ni mwenyeji kama matatizo na serikali ya CCM.IMENIBIDI kukaa nje ya JAMVI hili kwa ID yangu mpaka pale ntakaporekebishiwa na admn.:amen:
 
Hapana,sitaki hivyo,ila suala la multiple Ids linanikera sana.
Natamani Jf wangeweka sheria ya kutubana membaz humu kutofungua Ids hovyohovyo.
kwahiyo we unataka niwe naudhuria jamvini kama guest ili nisipate ma nutrition ya jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…