The richest football player in tz

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
881
Reaction score
942
Habari wana jamvi!

Mimi binafsi tumezoea kuona na kusikia wachezaji wanaongoza kwa utajiri ulaya, Sasa leo ngependa kufahamu mchezaji au wachezaji wanaoongoja kwa pesa hapa bongo.tz
 
Hakuna richest football player Tanzania, acha masihara bana. Ukijumlisha mishahara ya wachezaji wote kwa mwaka sijui kama inafika €1m, sasa utajiri wautoe wapi?
 
Reactions: PNC
Hakuna richest football player Tanzania, acha masihara bana. Ukijumlisha mishahara ya wachezaji wote kwa mwaka sijui kama inafika €1m, sasa utajiri wautoe wapi?
Sawa; lakini hata miongoni mwa mafukara huwa kuna mwenye unafuu. Mtoa mada anataka kujua ni nani mwenye kuongoza kwa huo unafuu.
 
Bongo hata wakipewa posho ya milioni 5 na Manji haitangazwi wanaogopa lawama, ndugu wa Chamwino wakisikia tu wote watakuja bila hodi kuleta matatizo yao.
 
Bongo hata wakipewa posho ya milioni 5 na Manji haitangazwi wanaogopa lawama, ndugu wa Chamwino wakisikia tu wote watakuja bila hodi kuleta matazo yao.
Kweli kabisa,kwaiyo matajiri wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…